ID ndefu zaid JF

ID ndefu zaid JF

mkuu hii ina space btn labda tupate ya moja kwa moja kama ID hii : ukwelikitugani
 
Ukimaliza hii anzisha ID yenye letter "A" nyingi
 
Mpaka sasa Complicator2011 ninaongoza kwa herufi 15 nikifuatiwa na Rutashubanyuma herufi 14, au mwasemaje wakuu?
 
Hivi ni ID name gani hapa JF ni ndefu kuliko zote?? Mi nimeiona hii Kibanga Ampiga MKoloni, manake imepitiliza hadi ile rangi ya dark blue for writing names.

Hii inawezwa kuingizwa kwenye kumbukumbu za JF guiness
Ili jina lina herufi 20, ukijumlisha na zile space mbili unapata 22 characters.

[TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD]K
[/TD]
[TD]i
[/TD]
[TD]b
[/TD]
[TD]a
[/TD]
[TD]n
[/TD]
[TD]g
[/TD]
[TD]a
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]A
[/TD]
[TD]m
[/TD]
[TD]p
[/TD]
[TD]i
[/TD]
[TD]g
[/TD]
[TD]a
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]M
[/TD]
[TD]k
[/TD]
[TD]o
[/TD]
[TD]l
[/TD]
[TD]o
[/TD]
[TD]n
[/TD]
[TD]i
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]4
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[TD]8
[/TD]
[TD]9
[/TD]
[TD]10
[/TD]
[TD]11
[/TD]
[TD]12
[/TD]
[TD]13
[/TD]
[TD]14
[/TD]
[TD]15
[/TD]
[TD]16
[/TD]
[TD]17
[/TD]
[TD]18
[/TD]
[TD]19
[/TD]
[TD]20
[/TD]
[TD]21
[/TD]
[TD]22
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hivi ni ID name gani hapa JF ni ndefu kuliko zote?? Mi nimeiona hii Kibanga Ampiga MKoloni, manake imepitiliza hadi ile rangi ya dark blue for writing names.

Hii inawezwa kuingizwa kwenye kumbukumbu za JF guiness

Duh! Nilikuwa sijuhi aisee kwani 2007 wakati naamua kujiregister Jambo Forum, nilifikiria jina zuri linalohusuy kupinga unyonyaji huu wa sasa na haraka sana likanijia la Hilo la Kibanga Mpiga Mkoloni nadhani tunakumbuka zile hadithi za enzi zile.
 
Ili jina lina herufi 20, ukijumlisha na zile space mbili unapata 22 characters.

[TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD]K
[/TD]
[TD]i
[/TD]
[TD]b
[/TD]
[TD]a
[/TD]
[TD]n
[/TD]
[TD]g
[/TD]
[TD]a
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]A
[/TD]
[TD]m
[/TD]
[TD]p
[/TD]
[TD]i
[/TD]
[TD]g
[/TD]
[TD]a
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]M
[/TD]
[TD]k
[/TD]
[TD]o
[/TD]
[TD]l
[/TD]
[TD]o
[/TD]
[TD]n
[/TD]
[TD]i
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]10[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]14[/TD]
[TD]15[/TD]
[TD]16[/TD]
[TD]17[/TD]
[TD]18[/TD]
[TD]19[/TD]
[TD]20[/TD]
[TD]21[/TD]
[TD]22[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Sioni kitufe cha hii kitu THANKS! kwa uchambuzi wako
 
hahahah! du, Xpaster umefanya kazi nzuri braza. Mpe like tu inamtosha mpaka hapo atakarudisha ile senkisi yetu! lol. Kibanga_Ampiga_Mkoloni ukiwa member wa SACCOSS nitafurahi mno. Karibu sana ujiandikieshe kwa kuleta jina lako kamili, namba ya simu, email address huyu mkoloni tulishamalizana nae bado UMASKINI UNATUSUMBUA SANA. namba yangu ya simu ni 0655 447788

na wengine wote mnaounga mkoni hili swala tafadhali fanya kama kibanga na maelekezo yote.

CD
 
Russianroulette but I don't see the point...
Wanatafuta jina refu kuliko yote miongoni mwa memba wa JF.


Kuna mtu ameninong'oneza kuwa yeye jina lake ni refu kuliko wooooooote humu ndani, Ila hataki kusema... Dah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom