ICC yazidi kunukia kwa Samia na Wakuu wa Vyombo. Mbunge wa Congress Marekani ataka Uchunguzi huru Mauaji ya raia Tanzania

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Nilisema na nitasema tena. Huwezi ua maelfu ya watu alafu Dunia ikakuacha.

Mbunge wa Bunge la Congress Marekani Ayanna Pressley ametoa tamko kudai uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusu mauaji maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na vyombo vya Ulinzi wa Usalama wakati na baada ya uchaguzi.

Ikumbukwe kiongozi Mkubwa duniani kuunga mkono wito huu alikuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zaeland Bi Helen Clark.

Samia, DGIS, IGP na CDF tukutane ICC. Ni suala la muda tu.

Screenshot_20251122_181737_X.jpg
 
Yes, she is a member of the “squad”.

Ilhan Omar, where are you?

AOC?

Jasmine Crockett…..maybe…
I expect the Mayor elect of New York to render his voice of condemnation of the Tanzania youth killings ; he has relations in Daresaalam [ uncle Anis Mamdani] and his father Prof. Mahmood Mamdani was a close friend of Prof. Issa shivji while teaching at the University of Daresalaam.
 
Nilisema na nitasema tena. Huwezi ua maelfu ya watu alafu Dunia ikakuacha.

Mbunge wa Bunge la Congress Marekani Ayanna Pressley ametoa tamko kudai uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusu mauaji maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na vyombo vya Ulinzi wa Usalama wakati na baada ya uchaguzi.

Ikumbukwe kiongozi Mkubwa duniani kuunga mkono wito huu alikuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zaeland Bi Helen Clark.

Samia, DGIS, IGP na CDF tukutane ICC. Ni suala la muda tu.

View attachment 3505928
The probability of getting away with that premeditated massacre is negligible!
 
Nilisema na nitasema tena. Huwezi ua maelfu ya watu alafu Dunia ikakuacha.

Mbunge wa Bunge la Congress Marekani Ayanna Pressley ametoa tamko kudai uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusu mauaji maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na vyombo vya Ulinzi wa Usalama wakati na baada ya uchaguzi.

Ikumbukwe kiongozi Mkubwa duniani kuunga mkono wito huu alikuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zaeland Bi Helen Clark.

Samia, DGIS, IGP na CDF tukutane ICC. Ni suala la muda tu.

View attachment 3505928
its a matter of time
 
Back
Top Bottom