100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,733
- 30,457
Ile Documentary ya CNN ukiitizama unapata hasira upya, kongole sana kwa Larry Madowo na CNN.. Tutawakumbuka.
Samia mwisho wako umefika.
Samia mwisho wako umefika.
Nilisema na nitasema tena. Huwezi ua maelfu ya watu alafu Dunia ikakuacha.
Mbunge wa Bunge la Congress Marekani Ayanna Pressley ametoa tamko kudai uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusu mauaji maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na vyombo vya Ulinzi wa Usalama wakati na baada ya uchaguzi.
Ikumbukwe kiongozi Mkubwa duniani kuunga mkono wito huu alikuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zaeland Bi Helen Clark.
Samia, DGIS, IGP na CDF tukutane ICC. Ni suala la muda tu.
View attachment 3505928
Does that matter? Hata kama CNN wangekaa kimya 100%, hii issue bado isingekuwa na sura tofauti na ya sasa!Trump haiamini CNN anaita fake news
RabaikaNilisema na nitasema tena. Huwezi ua maelfu ya watu alafu Dunia ikakuacha.
Mbunge wa Bunge la Congress Marekani Ayanna Pressley ametoa tamko kudai uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusu mauaji maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na vyombo vya Ulinzi wa Usalama wakati na baada ya uchaguzi.
Ikumbukwe kiongozi Mkubwa duniani kuunga mkono wito huu alikuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zaeland Bi Helen Clark.
Samia, DGIS, IGP na CDF tukutane ICC. Ni suala la muda tu.
View attachment 3505928
Neither in this life nor the next..Samuya hatakaa apate amani kwa haya mauaji
The BEST and most CREDIBLE noose is on 09Dec.The noose is tightening, keep turning up the heat until justice is served to all culprits
Your statement ought to have made a little sense to some idiots had it not included the words "out of hundreds with worse conditions"A Twitter statement coming from a black congresswoman ought to make a lot of pressure on a single foreign government out of hundreds with worse conditions.
Typical political bs.
Kwa nini tuitegemee ICC kufanya jambo wakati sisi wenyewe tunaweza kulifanya?Ushahidi wa mauaji ya halaiki ni mwingi sana. Ni vigumu sana kuchomoka kwenye hii ishu.
ICC ikizingua kwenye hii ishu itakosa credibility sana kiasi cha kuweza kuhatarisha hata uwepo wake. Kwa hiyo lazima itafanya jambo!
Kwa dunia ya sasa huwezi kufanya huo uhuni kuua maelfu na kuwazika hai majeruhi. Wengine kuwateketeza wazo kama Hitler ukabaki salamaMuda sio rafiki
Tulia mnyolewe mbwa nyie , kiambie kibibi kiuaji the end is nearA Twitter statement coming from a black congresswoman ought to make a lot of pressure on a single foreign government out of hundreds with worse conditions.
Typical political bs.
Kwa nini tuitegemee ICC kufanya jambo wakati sisi wenyewe tunaweza kulifanya?
Hii tabia ya utegemezi wa kila jambo unanishangaza sana, na sijui unatoka wapi hasa!
Ina maana tukae pembeni tusubiri ICC waje wafanye jambo; wasipokuja je? Tubaki tunashangaa kama ulivyo eleza... hadi lini?
wewe huna akili chuki zako kwa wazungu ksa dini zisikutoe utu vp al jazeera nao mbona wameyasema haya mauaji mara nyng sn tokea sku ya uchaguz hao ndo unawaamin ksa dini au vp..dini za kuja na wazungu na waarabu zmedumaza akili za waafrika ajabu china hakuna upumbavu huu wa hz dini na maisha yanaendelea tu unawachukia wazungu hata kwa mambo ambayo ni ya kibinadamu tu ambayo hayahitaji udini wala rangi ya mtu mamamaeee wallah.Trump haiamini CNN anaita fake news