GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,146
Reaction score
137,075
Huyu mtu, huyu kiumbe aitwaye Samia anapaswa kushitakiwa, at the least.

Ingekuwa ni juu yangu, nadhani wote mnajua ambacho ningetaka kumfanya au ambacho ningependa kimtokee.

Kwa dhambi kama hii hapa chini kwenye picha, huyu mtu anapaswa kukamatwa na kupelekwa mbele ya Plato.

IMG_8601.png

Nategemea ICC itatoa arrest warrant dhidi yake.

Make her life a living hell.

Toeni arrest warrant haraka sana ili aishie kuwa anaenda Somalia na Burundi huko kwa rafiki zake.

Na ole wake aje kwa Trump.
 
View attachment 3496787

Nategemea ICC itatoa arrest warrant dhidi yake.

Make her life a living hell.

Toeni arrest warrant haraka sana ili aishie kuwa anaenda Somalia na Burundi huko kwa rafiki zake.

Na ole wake aje kwa Trump.
Wasipomshtaki nitashangaa sana. Wamekufa watu wengi kuliko ule uchaguzi wa Kenya uliofanya kina Ruto washtakiwe.
 
Watu wamezikwa kwenye makaburi ya pamoja na serekali ili kuficha ushahidi. Bila watanzanzania kufungua kesi hukk tutakuwa tumeruhusu kutawaliwa kwa kumwaga damu. Ataebda kudhibitisha upate kura 31m kwa kumwaga damu za wananchi.
 
Back
Top Bottom