dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,534
Inaonekana umeanza kusoma huu Uzi katikati hebu anza Page ya 1....Mshana uzi wako unamaanisha kuombea ardhi kupitia imani ya watu weupe... si ndio !!?
Inaonekana umeanza kusoma huu Uzi katikati hebu anza Page ya 1....Mshana uzi wako unamaanisha kuombea ardhi kupitia imani ya watu weupe... si ndio !!?
Acheni huu uPUMBAVU MTU yoyote anaweza kuwa na uPAKO akilijua NENO nakumuabudu MUNGU kwa kumaanisha mimi Mbona nimejiombea Mwenyewe Vifungo vya uchawi..mizimu..madhabahu..navyote vimekwisha...acheni kuwaibia watu
Na hio ndio ilikuwa sehemu ya mahubiri KKKT Mabibo farasi leoHii inakuaje wapendwa, kuna semina flani niliihudhuria mada ilikua "kufungua malango"Kuna siku mtoa mada akasema tupeleke udongo wa mahali tunakoishi kwa ajili ya kutakasa ardhi.
Akatoa angalizo kama ni kwenye nyumba ya kupanga usipeleke maana huwezi jua maagano aloweka mwenye nyumba.Kama nyumba ina mauza uza solution ni kuhama tu.
Acheni huu uPUMBAVU MTU yoyote anaweza kuwa na uPAKO akilijua NENO nakumuabudu MUNGU kwa kumaanisha mimi Mbona nimejiombea Mwenyewe Vifungo vya uchawi..mizimu..madhabahu..navyote vimekwisha...acheni kuwaibia watu
Chukua ndimu za kutosha vitunguu saumu na chumvi ya mabonge changanya kavizike hapo mahali, pembeni ya mzunguko wa hilo shimo Zika mayai viza maneWell said mshana jr,baada ya kuhamia nilipojenga nikapata habari kuwa bibi alieniuzia alikuwa ni mganga,na hapa ndo alipokuwa akifanya matambiko maana kuna mwembe mkubwa sana.sina la kufanya nimekuwa nikibeba viudongo na kwenda navyo ibadani na kuomba mimi mwenyewe,japo hadi sasa naona lipo tatizo.nashindwa kuwashirikisha viongozi wa dini,maana wamekuwa wa kimaslahi zaidi.kila mtumishi siku hizi mwisho wa mahubiri yake anaweka no.za simu ili atumiwe pesa.sijui tumwamini nani jamani.
Nisomo refu naili utoke inatakiwa MTU anaemaanisha katika kujifunza NENO la MUNGU nakulielewa...nakufata Sheria zote za ..vinginevyo ndio utakutana na watu wanaokuelekeza kwenda sijui kwa Mtume Mara nabii...upuuzi mtupu..Nguvu za MUNGU zinashuka popote penye MTU anaemaanisha...nami nilkuwa MTU wakuhangaika na kuombewa hao waombeaji wakikuona unavipesa hawakusaidii shida iishe siku 1 wanataka kila siku uwe unakwenda baada yakugundua...Nikaamua kujifunza kusoma Neno la MUNGU nikienda Kanisani kwangu najiongezea maarifa tu...Nimeweka madhabahu nyumbani nakila kifanya maombi naitolea Sadaka...Naomba unipm au auanzishe uzi WA kuomba namna ya kujitoa kwenye vifungo vya uchawi mizimu madhabahu
Ahsante
Aaaamen hawa manabii na mitume wengi ni mawakala wa shetani, najua wazi kuna watu watanipinga sio kosa lao bado wamefungwaNisomo refu naili utoke inatakiwa MTU anaemaanisha katika kujifunza NENO la MUNGU nakulielewa...nakufata Sheria zote za ..vinginevyo ndio utakutana na watu wanaokuelekeza kwenda sijui kwa Mtume Mara nabii...upuuzi mtupu..Nguvu za MUNGU zinashuka popote penye MTU anaemaanisha...nami nilkuwa MTU wakuhangaika na kuombewa hao waombeaji wakikuona unavipesa hawakusaidii shida iishe siku 1 wanataka kila siku uwe unakwenda baada yakugundua...Nikaamua kujifunza kusoma Neno la MUNGU nikienda Kanisani kwangu najiongezea maarifa tu...Nimeweka madhabahu nyumbani nakila kifanya maombi naitolea Sadaka...
So...kitu cha muhimu kujua NENO la MUNGU
Mkuu hebu simulia hayo ma-salesale uliyoyaona tujifunze kwa yale uloshuhudia maana kuna watu vichwa ngumu huwa hawaamini.Ahsante sana mshana.....
Naomba kuuliza, mfano kwenye nyumba za kupanga, unaingia ila mwenye nyumba kishafanya yake mara amehifadhi majini na maushirikina humo humo hiyo nyumba unaitakasa vipi?
Kuna nyumba niliwahi kukaa, nimekaa siku kadhaa nalala fresh tu siku nilivomwaga chumvi ya baraka uwiii nilikoma ni mauza uza tu, siku hiyo nililala kumi na moja alfajiri, kesho yake mchana ni mauza uza aagrrr nkabeba vinguo vya kuvaa kazini nikahamia kwa watu
Kwakweli nimecheka sana hadi machozi aiseee! Yaani nimecheka jinsi chumvi ya baraka ilivokuzalishia mauzauza na ww ukaamua kuyakimbia. Hakika vita ya kiroho sio ya kuvamia kama huna silaha za kutosha maana utapigwa mauzauza hadi ukimbie mwenyewe.Hata sikua nakemea, nilikua najiombea ulinzi mahali hapo, yani badala ya ulinzi nitapata mauza uza.... Siku nimerudi hiyo nyumba nilirudi na gari kubeba vitu vyangu
Ni kweli kabisa ila kumbuka Ukiwa dhaifu utaisoma namba ya mauzauza usiku kucha mkuu.Hata hotel na guest house pia ni za kitakaswa otherwise unaweza toka na roho zingine kabisa
Usidhani ni kazi rahisi, kuna mwenzenu alimwaga chumvi ya baraka na mwisho wa siku alikimbia mwenyewe na chumvi yake kibindoni.Pata somo la Malango na Ardhi ya mwl mwakasege utapona ndugu.
Mshana jr hilo jambo halitaki kukemea bali linataka nguvu za Mwenyezi Mungu ziwe ndani yako. Kwa hivyo ili akemee anatakiwa awe na uhakika kuwa Mwenyezi MUNGU yupo nayeye, na atajuaje kama Mwenyezi MUNGU yupo na yeye?? Jibu ni uchamungu tu. Kumbuka yupo mwingine alimwaga chumvi ya baraka akatimua mbio na chumvi yake kasahau kama ni ya baraka.Unakemea tuu tena kwa dhamira hasa
Acha tu nilikimbia nyumba nikaacha kodi ya miez mitatu potelea mbali, hasara roho pesa makaratasiKwakweli nimecheka sana hadi machozi aiseee! Yaani nimecheka jinsi chumvi ya baraka ilivokuzalishia mauzauza na ww ukaamua kuyakimbia. Hakika vita ya kiroho sio ya kuvamia kama huna silaha za kutosha maana utapigwa mauzauza hadi ukimbie mwenyewe.
Kuwa mchamungu;Well said mshana jr,baada ya kuhamia nilipojenga nikapata habari kuwa bibi alieniuzia alikuwa ni mganga,na hapa ndo alipokuwa akifanya matambiko maana kuna mwembe mkubwa sana.sina la kufanya nimekuwa nikibeba viudongo na kwenda navyo ibadani na kuomba mimi mwenyewe,japo hadi sasa naona lipo tatizo.nashindwa kuwashirikisha viongozi wa dini,maana wamekuwa wa kimaslahi zaidi.kila mtumishi siku hizi mwisho wa mahubiri yake anaweka no.za simu ili atumiwe pesa.sijui tumwamini nani jamani.
Hongera umekuwa huru dhidi ujinga ambao wengi wamefungwa. Wana macho lkn hawaoni, wana masikio lakini hayasikii, Hii ni kwakuwa hawasomi neno na hata kama wakisoma na kuweka vifuani linakuwa halina uhai kwakuwa hawafuati sheria za Mwenyezi MUNGU. Siri ya ushindi ipo ktk uchamungu na sio rahisi kuwa mchamungu kama hujui sheria na kanuni za uchamungu.Nisomo refu naili utoke inatakiwa MTU anaemaanisha katika kujifunza NENO la MUNGU nakulielewa...nakufata Sheria zote za ..vinginevyo ndio utakutana na watu wanaokuelekeza kwenda sijui kwa Mtume Mara nabii...upuuzi mtupu..Nguvu za MUNGU zinashuka popote penye MTU anaemaanisha...nami nilkuwa MTU wakuhangaika na kuombewa hao waombeaji wakikuona unavipesa hawakusaidii shida iishe siku 1 wanataka kila siku uwe unakwenda baada yakugundua...Nikaamua kujifunza kusoma Neno la MUNGU nikienda Kanisani kwangu najiongezea maarifa tu...Nimeweka madhabahu nyumbani nakila kifanya maombi naitolea Sadaka...
So...kitu cha muhimu kujua NENO la MUNGU
Huu ndio ukweli watu wanachukulia mambo kirahisi nandio maana madhehebu kila siku yanazaliwa sababu kuna wateja wakutosha...Watu wanataka wafanyiwe kila kitu....Mtumishi hana la Ajabu analofanya zaidi yakulisoma NENO la MUNGU nakulifanyia kazi sasa watu wanadhani labda anakitu cha ziada NO...mimi nimefanya hii Nyumbani kwangu na vifungo vinaachia bila shidaHongera umekuwa huru dhidi ujinga ambao wengi wamefungwa. Wana macho lkn hawaoni, wana masikio lakini hayasikii, Hii ni kwakuwa hawasomi neno na hata kama wakisoma na kuweka vifuani linakuwa halina uhai kwakuwa hawafuati sheria za Mwenyezi MUNGU. Siri ya ushindi ipo ktk uchamungu na sio rahisi kuwa mchamungu kama hujui sheria na kanuni za uchamungu.
Asante sana Kiongozi umeandika kitu cha Maana sana watu waache kutegemea watu...ukienda kwenye Ibada kashirikiane nawaumini wenzio kujifunza Neno la MUNGU kwaajili yakupata Mtaji waujiombea Mwenyewe... mwenye Masikio nasikie Maneno hayo! Uliyoandika ndugu binafsi umeniongezea KituKuwa mchamungu;
Mwenyezi MUNGU ni wa wote atakusikia wala usihofu. Tena yupo karibu nasi kuliko tunavofikiri, haihitaji mtu akuombee, ukiwa mchamungu utajiombea mwenyewe na kwakuwa Mwenyezi MUNGU ni mwingi wa rehema atakusikia.
Ngoja nikupe aya kidogo zikuongoze
"Niombeni, nitakujibuni" (Quran 40:60)
"Hakika sisi tumemuumba mtu na tunajua yampitiayo nafsini mwake. Na hakika sisi tupo karibu naye kuliko mshipa wa shingoni mwake" (Quran 50:16)
"Hakika shetani hana nguvu juu wale walioamini na wanaomtegemea Mola wao mlezi" (Quran 16:99)
"Na wala mchawi hafaulu popote afikapo" (Quran 20:69)
"Mwenyezi MUNGU ni mlinzi wa walioamini, huwatoa kwenye giza na kuwapeleka kwenye mwangaza" (Quran 2:257)
"Na wajawangu watakapokuuliza habari zangu; waambie; hakika mimi nipo karibu, ninasikia na ninajibu maombi ya mwombaji anaponiomba" (Quran 2:186)
Soma zaburi ya 23 utaona jinsi Mwenyezi MUNGU alivyo karibu nasi "Bwana ndiye Mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu....."
Soma Quran 2:255 utaona ukuu wa Mwenyezi MUNGU.
Ndugu yangu acha kutegemea wachungaji au masheikh, mlango wa kumuomba Mwenyezi MUNGU upo wazi kwa kila mtu na Mwenyezi MUNGU anamsikia kila mja bila kujali hata dini yake. Kumbuka Mwenyezi MUNGU ana uhai wa milele, yeye ni mtukufu na ni mwenye kushinda.
Soma Luka 12 inaeleza vzuri sana kwamba mwanadamu huna haja ya mahangaiko na hali hata kidole tu huwezi ongeza urefu wake, Mtegemee MOLA wako naye atakupigania.
Mwenyezi MUNGU anasema
"Basi msilegee na kutaka suluhu maana ninyi ndio mtakaoshinda na mwenyezi MUNGU yu pamoja nanyi" (Quran 47:35)
Kwahiyo mkuu, kazi kwako kumtegemea na Kumuomba Mwenyezi MUNGU. Huo mchanga ombea mwenyewe, au chukua maji yaombee na nyunyiza nyumba nzima na uwanja mzima na kumbuka Mwenyezi MUNGU ndiye mwenye kushinda.