Ibada za kutakasa ardhi/makazi

Ibada za kutakasa ardhi/makazi

Ahsante yani niliikimbia na kodi nikaacha

Dah umenichekesha sana

Nina hamu ya kujua mauza gani yalikutokea

Umenikumbusha kuna nyumba moja nilikaa karibu mwaka lakini mauza uza yake sasa, mara paka aliye dirisha la chumba ninacholala ya full vituko tu
 
Bora paka angelia hata nisingejali teh, nilikesha jicho wazi saa kumi na moja alfajiri ndo nikasinzia
 
Hahahahah
Tumegee japo kidogo

Mi hamna kipindi ambacho niliishi maisha ya kukemea na kupambana kama kipindi hicho yan ilikuwa kukikucha asubuhi nasema bora kumekucha
 
Hilo somo gumu kama kiroho huko vizuri.utaona kama masihala,lakini ni jambo zuri sema changamoto iliyopo ni makuhani wetu na.mashekh uwezo wao wa kupambana katika ulimwengu wa roho ni mdogo sana.hawatofautiani na sisi.wengine wapo kwenye hizo huduma sio kwa wito kama ilivyokuwa kwa Walawi lakini wapo kimaslahi badala ya kuwa wapakwa mafuta wa Bwana.
kuhani hapambani yeye.. ila anatumia jina La Yesu na Damu yake inayonena mema...kuhani inampasa kujitakasa kwanza kabla hajafanya lolote... mtumishi wa Mungu hata hao mnosema wana uchafu wao..Hawasogei patakatifu au kuliitia Jina la Yesu pasipo Toba...nataka kusema kuwa. Yawezekana upako wa baadhi yao umepungua... wengine si watumishi wa Mungu aliye hai ni kweli. Kikubwa fanya jambo kwa kuongozwa na Roho mtakatifu.. anayekupa Amani ndani yako ya kukuongoza na kumuita mtumishi na si kila mtumishi bali yule anayekulea kiroho..na Hata akija kufanya utakaso hafanyi peke yake. Si mama katika imani yako nawe tumia Damu na Jina la Yesu kutakasa. MUNGU ana angalia Roho/imani yako. Ni mausiano yako binafsi na Mungu na Ardhi yako. Mtumishi ana sehemu ndogo sana.
 
Hahahahah
Tumegee japo kidogo

Mi hamna kipindi ambacho niliishi maisha ya kukemea na kupambana kama kipindi hicho yan ilikuwa kukikucha asubuhi nasema bora kumekucha
Pata somo la Malango na Ardhi ya mwl mwakasege utapona ndugu.
 
Naomba mtupe elimu ya jinsi ya kutumia damu ya Yesu na moto wa Roho Mt katika kufukuza nguvu za giza. Asanteni.
 
wengi hawaongozwi na roho mtakatifu.kazi zao wanazifanya kwa mazoea matokeo.upako haupo na waumini kibao wanaogopa nguvu za giza! wakati tumepewa mamlaka ya kuzikanyaga.
Upako upo Kwa chief apostle mtalemwa wa ECG, ni wiki moja iliyopita alitangaza mfungo ulioendeana Na maombi haya na kutufundisha vifungu vinavyothibitisha na Vya kusimamia Ukombozi wa Ardhi Yako, pia aliombea Ardhi Za mahali tunakotoka na kuzifungua. Soma nyakati wa pili 7:14 , mwanza 2:7, mithali 26:27 na Isaya 42:22. Jinsi ya kufanya udon go ukupe Baraka, chukua udongo kwenye chimbuko lako iwe utokako au unakoishi, omba Kwa kutumia mistari hiyo, pulizia pumzi Yako kuipa uhai, vua Viatu Kanyaga Ardhi huku unaonyesha kitendo cha kuteka na ku possess Kama alivyofanya TB Joshua alivyokanyaga TZ, hapa simamia Joshua 1:3, Amuru Ardhi kutapika kila kilichomezwa katika Hatima Yako. A mini imekua na pokea Kwa jina la yesu sawa na mafunzo ya Chief Apostle. Hii ni Kwa Imani ya dini yangu

Wa
 
Mshana uzi wako unamaanisha kuombea ardhi kupitia imani ya watu weupe... si ndio !!?
 
Upako upo Kwa chief apostle mtalemwa wa ECG, ni wiki moja iliyopita alitangaza mfungo ulioendeana Na maombi haya na kutufundisha vifungu vinavyothibitisha na Vya kusimamia Ukombozi wa Ardhi Yako, pia aliombea Ardhi Za mahali tunakotoka na kuzifungua. Soma nyakati wa pili 7:14 , mwanza 2:7, mithali 26:27 na Isaya 42:22. Jinsi ya kufanya udon go ukupe Baraka, chukua udongo kwenye chimbuko lako iwe utokako au unakoishi, omba Kwa kutumia mistari hiyo, pulizia pumzi Yako kuipa uhai, vua Viatu Kanyaga Ardhi huku unaonyesha kitendo cha kuteka na ku possess Kama alivyofanya TB Joshua alivyokanyaga TZ, hapa simamia Joshua 1:3, Amuru Ardhi kutapika kila kilichomezwa katika Hatima Yako. A mini imekua na pokea Kwa jina la yesu sawa na mafunzo ya Chief Apostle. Hii ni Kwa Imani ya dini yangu

Wa
Na mimi napokea kwa imani AMEN RA
 
Acheni huu uPUMBAVU MTU yoyote anaweza kuwa na uPAKO akilijua NENO nakumuabudu MUNGU kwa kumaanisha mimi Mbona nimejiombea Mwenyewe Vifungo vya uchawi..mizimu..madhabahu..navyote vimekwisha...acheni kuwaibia watu
 
Back
Top Bottom