Ibada za kutakasa ardhi/makazi

Ibada za kutakasa ardhi/makazi

Evelin salt hebu pitia huku
Ahsante sana mshana.....
Naomba kuuliza, mfano kwenye nyumba za kupanga, unaingia ila mwenye nyumba kishafanya yake mara amehifadhi majini na maushirikina humo humo hiyo nyumba unaitakasa vipi?
Kuna nyumba niliwahi kukaa, nimekaa siku kadhaa nalala fresh tu siku nilivomwaga chumvi ya baraka uwiii nilikoma ni mauza uza tu, siku hiyo nililala kumi na moja alfajiri, kesho yake mchana ni mauza uza aagrrr nkabeba vinguo vya kuvaa kazini nikahamia kwa watu
 
Pale ni sawa na kwenda uarabuni halafu ulete taratibu zako!hukawizwi
...Mara nyingi kwa wale waamini ni kujikabidhi tu mikononi mwa Mungu mkuu...japo atajua tu huyo mwenye mji wake na visa havitaisha
 
Yesu amezaliwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Na Roho mtakatifu ni Mungu.

Mariam aliku bikira na ndio maana joseph aliposikia mariam ana mimba alitaka kumuacha kwa siri sababu mimba haikua yake lakin aliambiwa usimuache mkeo sababu amebeba mimba kwa uwezo wa Roho. Rudi kusoma ktk mathayo. 1: 28-25 halafu urekebishe hapo juu. Kitu kingine mtoto akiwa tumbon damu inakua ni ya baba na si ya mama.

Kwahiyo damu ya mariam haikuingia kwa Yesu. Kwahiyo Yesu anadamu ya Mungu Roho mtakatifu.

Damu yake tunasema haina hila wala mawaa. Ndio maana tunaitumia hata ktk kujitakasa sisi na kuitakasa ardhi. Bwana Yesu asifiwee. Wote tuseme Amen
Amen mtumishi wa Mungu
 
Pale ni sawa na kwenda uarabuni halafu ulete taratibu zako!hukawizwi
...Mara nyingi kwa wale waamini ni kujikabidhi tu mikononi mwa Mungu mkuu...japo atajua tu huyo mwenye mji wake na visa havitaisha
Asante sana Mshana,hili somo ni pana sana na ni nzuri sana ukilielewa,kuhusu nyumba za kupanga tumepewa mamlaka ya kumiliki ardhi kwa hiyo popote unapoishi unapamiliki wewe kama uko kiimani kweli lazima uitakase ardhi ile na kuiombea toba maana hujui waliopita hapo au mwenye hiyo nyumba aliweka maagano gani na ardhi hiyo na ni kweli kama kuna maagano ambayo ni kinyume na mpango wa Mungu utakua umetangaza vita lkn mwenye imani anashinda.
 
Ahsante sana mshana.....
Naomba kuuliza, mfano kwenye nyumba za kupanga, unaingia ila mwenye nyumba kishafanya yake mara amehifadhi majini na maushirikina humo humo hiyo nyumba unaitakasa vipi?
Kuna nyumba niliwahi kukaa, nimekaa siku kadhaa nalala fresh tu siku nilivomwaga chumvi ya baraka uwiii nilikoma ni mauza uza tu, siku hiyo nililala kumi na moja alfajiri, kesho yake mchana ni mauza uza aagrrr nkabeba vinguo vya kuvaa kazini nikahamia kwa watu
Ah ah ah ah nacheka kama mazuri pole;

Ni hivi kwa ulewa wangu mdogo; ww ulimwaga hiyo chumvi na kuanza kekemea.

Hujui hayo madudu yalii ingiaje hapo. Inawezekana kabisa hayo madudu yamekaa kwa haki kabisa hapo.

Sasa kama yameingia kwa haki Huwez kuyakemea na yakatoka kiivyo unavyo waza.

Ktk ulimwengu wa roho kuna sheria; na lazima ufuate sheria.

Lazima ufuate utaratibu. Hapo jua kuwa ardhi ina haki na hicho kitu.

Cha kwanza kabisa; lazima ujitakase wewe na utakase hiyo ardhi.

Cha pili hiyo chumvi wakati unaimwaga ungekuwa una omba toba( maombi ya toba) sababu zamani Makuhan walivyokuwa wanaomba toba walikua wana tumia chumvi.( chumvi ya agano)

Ukiomba toba unamruhusu Mungu aingilie kati awatoe hayo madudu na aingie mwenyewe.

Katika toba utukufu wa Mungu unashuka; katik toba Mungu anakupigania; katika toba Mungu ana toa uhalali wa shetan na anakaa yeye.

Katika toba unapata ulinzi.
Toba ni kujishusha mbele za Mungu.
. kwa uchache ni hivyo

Ingia katika somo la malango utaona toba inavyo fanya kaz
 
Hata sikua nakemea, nilikua najiombea ulinzi mahali hapo, yani badala ya ulinzi nitapata mauza uza.... Siku nimerudi hiyo nyumba nilirudi na gari kubeba vitu vyangu
 
Naomba nipanue hili somo kwa upande mwingine DEVINE... na Heaven Sent wao nimewaachia upande wa kiroho upande wa kiimani
Lakini kuna hili pia ambalo ndani ya maombi hayo hayo huchanganya na hivi vitu..kumbuka ni kama mila na si ushirikina au uchawi na ulozi
c027564c86eb4680969bce8317a53556.jpg
Kuna hiyo ya kutumia mchanganyiko wote huo pamoja naaombi
4123b505a332a256d2710dc1f480d5fd.jpg
Kuna hii ya kutumia chumvi ya mabonge....habari za chumvi si ngeni hata kwenye maandiko
7d42462ffb1aaed73fbd51fe0f859731.jpg
4cf2545aadbe3ddc3501949cf8d85674.jpg
24597b3c99b0985aecaf2812526c20e3.jpg
Kuna hii ya vishada, lakini nadhani hii kuna kitu cha ziada
c899d7955f01c12160b4be71494f8292.jpg
Na hii ya mafuta ya mzeituni
 
Mhhhhhhhhh bro; hiv unajua unayofundisha humu kuna watu wanayachukua.

Kutakasa ardhi kesho kutwa had nijipange vizur; cz somo gumu kidogo.

Mungu atupatie nguvu
 
Ndio maana najaribu mno kuwa modest, nisije kufundisha vitu vibaya kama nilivyofikiriwa vibaya kwenye mada za kishirikina. .pls nitakuomba urejee ukiwa gado
 
1466615177596.jpg
1466615194328.jpg
1466615209252.jpg
1466615216769.jpg
nimeweka picha nyingi makusudi naona ni kitu kinachotumiwa sana kwenye utakaso japo sidhani kama hili lina upako na linamtukuza Mungu kwa wale waamini na waaminio
 
Back
Top Bottom