Upako upo Kwa chief apostle mtalemwa wa ECG, ni wiki moja iliyopita alitangaza mfungo ulioendeana Na maombi haya na kutufundisha vifungu vinavyothibitisha na Vya kusimamia Ukombozi wa Ardhi Yako, pia aliombea Ardhi Za mahali tunakotoka na kuzifungua. Soma nyakati wa pili 7:14 , mwanza 2:7, mithali 26:27 na Isaya 42:22. Jinsi ya kufanya udon go ukupe Baraka, chukua udongo kwenye chimbuko lako iwe utokako au unakoishi, omba Kwa kutumia mistari hiyo, pulizia pumzi Yako kuipa uhai, vua Viatu Kanyaga Ardhi huku unaonyesha kitendo cha kuteka na ku possess Kama alivyofanya TB Joshua alivyokanyaga TZ, hapa simamia Joshua 1:3, Amuru Ardhi kutapika kila kilichomezwa katika Hatima Yako. A mini imekua na pokea Kwa jina la yesu sawa na mafunzo ya Chief Apostle. Hii ni Kwa Imani ya dini yangu
Wa