Nachangia Uzi huu kwa kusema kuwa tatizo kamwe sio Ardhi bali ni dhambi za watu na nguvu za Giza ambazo zinafanyakazi kupitia watu na vitu.
Hakuna haja kutakasa Ardhi wala Nyumba. Kama wewe umetakaswa vitu hivyo vimetakaswa. Hatuombi Mungu atakase nyumba tunaomba atulinde.
Usilaumu watumishi, wote tuna mamlaka ktk ulimwengu wa kiroho kama tunampenda kikweli