Ibada za kutakasa ardhi/makazi

Ibada za kutakasa ardhi/makazi

Kuna ulimwengu wa roho ulimwengu usoonekana ndio hufanya kazi kwenye mambo kama haya na ndio huo ambao kwa tafsiri nyingine ni hiyo
Mambo yote yanaanzia ktk ulimwengu wa kiroho ndio yanajihirdhisha ktk ulimwengu wa kimwili.

Ardhi ina haki ya kudai kukumiliki sababu ya vitu vingi vilivyofanyika( kafara mfano) maagano yanayofanyika na familia mtaa au mji au kijiji. Haijalishi hujahusika lakin ardhi ya mahal pale unapoishi na ww umekua included.

kwahiyo unaweza omba kwa Mungu na Mungu asijibu maombi yako sababu Mungu ni wa haki.

Ardhi itasema nina haki ya kummiliki huyu mtu. Na Mungu atakaa pembeni had pale utakapo nyinyekeza kwa Mungu ukiomba toba na Mungu akairidhia hiyo ardhi Mungu atasikia maombi yako.

2nyakat 7:14. ( ndipo macho yangu yatambuka na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa. ( ukianzia 7 mstari utaona inasema" Ikiwa watu wangu watanyinyenyekeza na ..........)) Tunaona Mungu anataka tuombe toba.

Toba maana yake inampa uhalali Mungu kuingilia kati tena ktk sehemu aliyokaa shetan na Mungu akatake control na kuanza upya na ww ktk hiyo ardhi.

Ndio maana nikasema ardhi nayo inakua na haki ya kudai kukumiliki ili kutoa ule uhalali omba toba kwaajili ya ardhi.

Ukiiponya ardhi vitu vingi sana vitafunguka ktk maisha yako sema hatujui jins ya kuomba toba au kutakasa ardhi
 
Mambo yote yanaanzia ktk ulimwengu wa kiroho ndio yanajihirdhisha ktk ulimwengu wa kimwili. Ardhi ina haki ya kudai kukumiliki sababu ya vitu vingi vilivyofanyika( kafara mfano) maagano yanayofanyika na familia mtaa au mji au kijiji. Haijalishi hujahusika lakin ardhi ya mahal pale unapoishi na ww umekua included. kwahiyo unaweza omba kwa Mungu na Mungu asijibu maombi yako sababu Mungu ni wa haki. Ardhi itasema nina haki ya kummiliki huyu mtu. Na Mungu atakaa pembeni had pale utakapo nyinyekeza kwa Mungu ukiomba toba na Mungu akairidhia hiyo ardhi Mungu atasikia maombi yako. 2nyakat 7:14. ( ndipo macho yangu yatambuka na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa. ( ukianzia 7 mstari utaona inasema" Ikiwa watu wangu watanyinyenyekeza na ..........)) Tunaona Mungu anataka tuombe toba. Toba maana yake inampa uhalali Mungu kuingilia kati tena ktk sehemu aliyokaa shetan na Mungu akatake control na kuanza upya na ww ktk hiyo ardhi. Ndio maana nikasema ardhi nayo inakua na haki ya kudai kukumiliki ili kutoa ule uhalali omba toba kwaajili ya ardhi. Ukiiponya ardhi vitu vingi sana vitafunguka ktk maisha yako sema hatujui jins ya kuomba toba au kutakasa ardhi
DIVINE asante sana ufafanuzi ulioutoa umeniongezea kitu ....nimepata cha ziada hapa
 
Tena itakua siku hiyo; mimi nitaitika; asema BWANA; nitaziitikia mbingu; nazo zitaitikia nchi; nayo nchi itaitikia nafaka na divai na mafuta ....hosea 2:21-22) ardhi na mbingu zinafanya kazi pomoja.

Ardhi ikifungwa mbingu nayo inafungwa. Ndio maana huo mstari Mungu anasema ataitika na mbingu zitaitika nazo zitaitikia nchi. Ni somo pana kidogo lakin ukilijua kulitumia linakutoa.

Cz ardhi ina uwezo wa kukutambua popote uendapo kama bado mna maagano yalifanyika na ardhi ilishuhudia haitokuachia ufanikiwe kirahisi au ktk upande wa magonjwa had uombe toba.

utakuta Ukiomba tu kwa Mungu; Mungu akitaka kukusaidia ardhi inalia nina haki ya hichi kitu au huyu mtu kwa Mungu;

Mungu ananyamaza. Na Mungu cku zote ni mwaminifu hata tutende mabaya gani ukijinyenyekeza anakurudi na unaanza upya kabisa. Ndio maana anaitwa Mungu hakuna kama yeye. Watu huwa tunajidanganya mm sikufanya huo uovu.

Tunasahau Mungu anapatiliza maovu had kizazi cha nne. Dhambi unabeba mwenyew ila maovu yanapatiliza aisee.

Mungu atufungue macho ya rohoni tuyaelewe maandiko kiroho zaid na sio kimwil. Tukienda kimwili andiko linaua. Mungu awabariki ktk hili. Amen
 
Hilo somo gumu kama kiroho huko vizuri.utaona kama masihala,lakini ni jambo zuri sema changamoto iliyopo ni makuhani wetu na.mashekh uwezo wao wa kupambana katika ulimwengu wa roho ni mdogo sana.hawatofautiani na sisi.wengine wapo kwenye hizo huduma sio kwa wito kama ilivyokuwa kwa Walawi lakini wapo kimaslahi badala ya kuwa wapakwa mafuta wa Bwana.

Mkuu, unadhani kuwa kiongozi wa dini ndo kuwa na uwezo wa kufanya mambo hayo?? La hasha! Kwa mtazamo wangu na imani yangu naamini kuwa kila binadamu was born divine (hapa naongelea kila roho ya mwanadamu). Kumbuka Mungu alituumba kwa mfano wake na uhai aliotupa (pumzi) ilikuwa pure. (pure soul) kwa hiyo kama Mungu is the super divine power, na ndiye the suprime soul, kwa hiyo wakati binadamu anazaliwa anakuwa na pure divine power na anaweza kufanya jambo lolote kama akikua bila kuwa ruined na mambo ya dunia hii. Vitu vinavyotufanya tupoteze hiyo divine power ( to loose the purity of original soul) ni kama kupenda maisha ya dunia hii, pesa, sex whatever you love most than loving the supreme soul. Kama utajiepusha na mambo kama hayo, wewe maisha yako ni kumtafuta Mungu tu, nayejifunua kwako atakupa uwezo wote hivyo unaweza kufanya jambo lolote. Kwa maanda hiyo hao wachungaji, Masheikh, mapadre etc, siamini kuwa wanauwezo wa kufanya miujiza kama ya kutakasa ardhi and the like. Nasema hivyo kwa sababu, wao ndo wanatumia muda wao mwingi kutafuta pesa. (angalia kwenye tele-evanglism, wengi wanahubiri kutoa pesa). Pia tunaona Wachungaji wengi wa leo ndio matajiri wakubwa.

Yesu, alikuwa Mwanadamu kama wewe na mimi. (siamini kama ni kweli alizaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu). Kwa mtazamo wangu naamini alizaliwa baada ya wazazi wake kukutana kimwili. Lakini yesu alimtafuta Mungu kwa bidii, Mungu akajidhilisha kweka. Roho yake ikarudia uhalisia wake wa mwanzo. Ndo maana hakuna jambo ambalo lolote lililo mshinda Yesu. Na hii ni kwa sababu Katika maisha yake, Yesu hakuwahi kuwa na mke (no sex) hakuwa kujiangaisha na utafutaji wa pesa, Kazi yake ilikuwa kumtafuta Mungu alipomuona akawa kila kitu kama Mungu alivyo kila kitu. Ukifikia level hiyo kila kitu kina kutii. Kwa sababu uwezo wa Mungu unakuwa nao wote. Kama ni msomaji mzuri wa Biblia, jaribu kutafakari maneno ya Yesu aliyosema.. "Mimi na Baba yangu tu wamoja na aliyeniona mimi amemwona Baba". Ukiachana na mambo ya dunia hii unawezo mkubwa mno wa ki-Mungu. (ila siyo kazi rahisi hata Yesu alisota sana mpaka kufikia level hiyo). Kwa dunia ya leo hii siyo rahisi kusema eti wachungaji au Mashekh na Mapadre wanaweza kuwa na uwezo wa Kimungu.
 
kweli tumepewa mamlaka lakini tunashindwa kuitumia.imani zetu zimekufa.tunategemea makuhani ambao nao wamechoka.
 
Kama tungefuata huu ushauri migogoro ya ardhi ingepungua sana pia tungeishi kwa mafanikio na ustawi mahali tulipo
Yaah! Cz hata mipaka inaanzia ktk ulimwengu wa kiroho. Ukikanyaga kwa imani kwa mamlaka Mungu aliyokupa popote pale nyayo zako zitakapo kanyaga nimekupa kumiliki. Kwa hiyo unaweza weka mipaka ktk ulimwengu wa kiroho na hakuna mtu atakayegusa eneo lako yoshua 1:3-5
 
Mkuu, unadhani kuwa kiongozi wa dini ndo kuwa na uwezo wa kufanya mambo hayo?? La hasha! Kwa mtazamo wangu na imani yangu naamini kuwa kila binadamu was born divine (hapa naongelea kila roho ya mwanadamu). Kumbuka Mungu alituumba kwa mfano wake na uhai aliotupa (pumzi) ilikuwa pure. (pure soul) kwa hiyo kama Mungu is the super divine power, na ndiye the suprime soul, kwa hiyo wakati binadamu anazaliwa anakuwa na pure divine power na anaweza kufanya jambo lolote kama akikua bila kuwa ruined na mambo ya dunia hii. Vitu vinavyotufanya tupoteze hiyo divine power ( to loose the purity of original soul) ni kama kupenda maisha ya dunia hii, pesa, sex whatever you love most than loving the supreme soul. Kama utajiepusha na mambo kama hayo, wewe maisha yako ni kumtafuta Mungu tu, nayejifunua kwako atakupa uwezo wote hivyo unaweza kufanya jambo lolote. Kwa maanda hiyo hao wachungaji, Masheikh, mapadre etc, siamini kuwa wanauwezo wa kufanya miujiza kama ya kutakasa ardhi and the like. Nasema hivyo kwa sababu, wao ndo wanatumia muda wao mwingi kutafuta pesa. (angalia kwenye tele-evanglism, wengi wanahubiri kutoa pesa). Pia tunaona Wachungaji wengi wa leo ndio matajiri wakubwa.

Yesu, alikuwa Mwanadamu kama wewe na mimi. (siamini kama ni kweli alizaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu). Kwa mtazamo wangu naamini alizaliwa baada ya wazazi wake kukutana kimwili. Lakini yesu alimtafuta Mungu kwa bidii, Mungu akajidhilisha kweka. Roho yake ikarudia uhalisia wake wa mwanzo. Ndo maana hakuna jambo ambalo lolote lililo mshinda Yesu. Na hii ni kwa sababu Katika maisha yake, Yesu hakuwahi kuwa na mke (no sex) hakuwa kujiangaisha na utafutaji wa pesa, Kazi yake ilikuwa kumtafuta Mungu alipomuona akawa kila kitu kama Mungu alivyo kila kitu. Ukifikia level hiyo kila kitu kina kutii. Kwa sababu uwezo wa Mungu unakuwa nao wote. Kama ni msomaji mzuri wa Biblia, jaribu kutafakari maneno ya Yesu aliyosema.. "Mimi na Baba yangu tu wamoja na aliyeniona mimi amemwona Baba". Ukiachana na mambo ya dunia hii unawezo mkubwa mno wa ki-Mungu. (ila siyo kazi rahisi hata Yesu alisota sana mpaka kufikia level hiyo). Kwa dunia ya leo hii siyo rahisi kusema eti wachungaji au Mashekh na Mapadre wanaweza kuwa na uwezo wa Kimungu.
Yesu amezaliwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Na Roho mtakatifu ni Mungu.

Mariam aliku bikira na ndio maana joseph aliposikia mariam ana mimba alitaka kumuacha kwa siri sababu mimba haikua yake lakin aliambiwa usimuache mkeo sababu amebeba mimba kwa uwezo wa Roho. Rudi kusoma ktk mathayo. 1: 28-25 halafu urekebishe hapo juu. Kitu kingine mtoto akiwa tumbon damu inakua ni ya baba na si ya mama.

Kwahiyo damu ya mariam haikuingia kwa Yesu. Kwahiyo Yesu anadamu ya Mungu Roho mtakatifu.

Damu yake tunasema haina hila wala mawaa. Ndio maana tunaitumia hata ktk kujitakasa sisi na kuitakasa ardhi. Bwana Yesu asifiwee. Wote tuseme Amen
 
Yesu amezaliwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Na Roho mtakatifu ni Mungu. Mariam aliku bikira na ndio maana joseph aliposikia mariam ana mimba alitaka kumuacha kwa siri sababu mimba haikua yake lakin aliambiwa usimuache mkeo sababu amebeba mimba kwa uwezo wa Roho. Rudi kusoma ktk mathayo. 1: 28-25 halafu urekebishe hapo juu. Kitu kingine mtoto akiwa tumbon damu inakua ni ya baba na si ya mama. Kwahiyo damu ya mariam haikuingia kwa Yesu. Kwahiyo Yesu anadamu ya Mungu Roho mtakatifu. Damu yake tunasema haina hila wala mawaa. Ndio maana tunaitumia hata ktk kujitakasa sisi na kuitakasa ardhi. Bwana Yesu asifiwee. Wote tuseme Amen
Ameen.
 
Mkuu, tafadhali ningeomba ujaribu kufafanua tofauti ya Mungu na Roho Mtakatifu.

Note: Nadhani wewe ni msomaji mzuri wa Biblia. Biblia inasema wazi kuwa "Mungu ni Roho" (Roho = soul) the Supreme Soul to whom all souls belong. Ukitafakali kwa makini tu hayo maneno machache utaelewa vizuri. (can a soul reproduce??) hapo sijui.. tuendeleee kuelimishana.
 
kweli tumepewa mamlaka lakini tunashindwa kuitumia.imani zetu zimekufa.tunategemea makuhani ambao nao wamechoka.

Umeona??
Yaaani tumefungwa na mambo ya maisha... na hapo roho zetu haziwezi kuwa karibu na Mungu hata siku moja.
Yes kufikia uwezo huo.. ali renounce kila kitu. Hakuwa kufanya sex, wala kufanya kazi ya kumpatia kipato. Kwa Ujumla ukisharudisha roho yako kuwa kwenye kiwango cha utakatifu tokea siku aliyeitoa alivyo mtakatifu then,, unauwezo wa kufanya kitu chochote hapa duniani. Kila kiumbe, mawe bahari na kila kitu kitakutiii wewe
 
Mkuu, tafadhali ningeomba ujaribu kufafanua tofauti ya Mungu na Roho Mtakatifu.

Note: Nadhani wewe ni msomaji mzuri wa Biblia. Biblia inasema wazi kuwa "Mungu ni Roho" (Roho = soul) the Supreme Soul to whom all souls belong. Ukitafakali kwa makini tu hayo maneno machache utaelewa vizuri. (can a soul reproduce??) hapo sijui.. tuendeleee kuelimishana.
Mungu ni nafsi tatu baba mwana na Roho mtakatifu.( ni kitu kimoja lakini vinafanya kaz tofauti) Yesu anaposema mimi na Baba tu mmoja. Baba yake ni nani? Kama mariam alichukua mimba kwa uwezo wa Roho.

Roho ni nani na Baba ni nani? Hawa wote ni kitu kimoja sema vinafanya kaz tofauti. Mfano mimi nikiwa nyumban ni mama nikiwa na mume wangu ni mkewe na nikiwa kazini ni mwalimu.

Hapo huwez sema ni watu watatu tofauti bali mtu mmoja lakin nina wadhifa tofauti. Roho inaweza kureproduce kasome biblia vizuri

mathew 1: 18-25. Hii inaenda kwa imani. Na hatutafsir biblia kimwil cz andiko linaua wakati unasoma omba Mungu( Roho mtakatifu) akufundishe
 
Mshana jr. Nimekukubali aisee. La zaidi haufungamani na upande wowote. lamsingi usijeandika KIPARE wengine hawataelewa
 
Hicho ni kibantu, nikiombwa ufafanuzi kwa kipare sina jinsi nitafanya hivyo ndugu yangu si unajua asili tena
 
Back
Top Bottom