Mungu ni nafsi tatu baba mwana na Roho mtakatifu.( ni kitu kimoja lakini vinafanya kaz tofauti) Yesu anaposema mimi na Baba tu mmoja. Baba yake ni nani? Kama mariam alichukua mimba kwa uwezo wa Roho. Roho ni nani na Baba ni nani? Hawa wote ni kitu kimoja sema vinafanya kaz tofauti. Mfano mimi nikiwa nyumban ni mama nikiwa na mume wangu ni mkewe na nikiwa kazini ni mwalimu. Hapo huwez sema ni watu watatu tofauti bali mtu mmoja lakin nina wadhifa tofauti. Roho inaweza kureproduce kasome biblia vizuri mathew 1: 18-25. Hii inaenda kwa imani. Na hatutafsir biblia kimwil cz andiko linaua wakati unasoma omba Mungu( Roho mtakatifu) akufundishe
Nakushukuru mno obseva kwa kunitia nguvuMshana Mungu akubariki sana. Umekuwa kiungo kizuri cha kuzijaza nafsi za watu juu ya ufahamu wa miili yao na Roho zao.
Tunajua kabisa mfumo wa utawala wa ulimwengu huu umewekwa kiasi kwamba anayemuwahi mwenzie rohoni ndiye anayekula nyama.
Mwili ni silaha ya tusaidia kutawala mazingira yetu, Lakini utawala halisi ni rohoni.
Kwa wale wanaoiamini biblia ukisoma Mwanzo 1. Soma yote Mungu anamuumba Adamu na Eva na anawabariki na kuwapa amri ya kuijaza nchi na kiitiisha wakati hawana miili ila ni Roho
Sura ya pili Mwanzo wanapewa miili wakati assignment ya kuzaa na kutiisha Imeshatolewa. Inamaana mwili ni silaha tuu ya kutimiza kazi. Ni sawa unapoajiliwa unapewa gari. Maana hiyo gari sio wewe. Na mwili sio wewe ni lugha ngumu kidogo Lakini ndiyo ukweli.
Mshana jr Mungu ukuongeze maarifa na uthubutu wa kuendelea kuufunua huu ulimwengu wa roho ili maarifa ijazwe kwetu na tusiangukie kwenye kundi la kupotea sababu ya kukosa maarifa.
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI
Kuna ulimwengu unaoendesha hii dunia kwa namna ya pekee kabisa. . . . unajikuta tu baraka zinamiminikaVery nice topic mshana...mfano mashamba tunayokodi kwa kilimo mengi yamefungwa kutokana na matambiko au mila za huko nyuma,ukifanya kitubio kwa niaba yao na kufungua vifungo utashangazwa na mazao yatokayo hapo...kuna vitu ukivijua raha sana
Kama ulikula hicho chakula na ww umeingizwa ktk agano lao soma 1 korintho 10:23-29. Bt point ipo 28Nimewahi kuona kampuni ya ujenzi ya masingasinga Kabla ya kuanza ujenzi humwita Kuhani wao kufanya maombi Kwa kuzungukia site yore baadaye hutoa sadaka ya Chakula Kwa Watu wote na mafundi waliopo site
Kwema kaka majukumu yamenikaba koo lakini tupo pamoja kila nipatapo wasaa lazma nichungulie jukwaani mshana katupia ujuzi gani.Umekuwa adimu jukwaani kwema?
Naam kiongozi, mi nazidi kukuombea afya njema uendelee kuporomosha maujuzi tupate kujifunza mengi. Tumepewa vipawa tofauti ili tusaidiane katika safari yetu.Kazi na dawa vizuri sana lazima kubalance mambo usipotee sana lakini
Amina Amina Ubarikiwe kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo mfufuka alie hai kwa ufafanuzi huoYesu amezaliwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Na Roho mtakatifu ni Mungu. Mariam aliku bikira na ndio maana joseph aliposikia mariam ana mimba alitaka kumuacha kwa siri sababu mimba haikua yake lakin aliambiwa usimuache mkeo sababu amebeba mimba kwa uwezo wa Roho. Rudi kusoma ktk mathayo. 1: 28-25 halafu urekebishe hapo juu. Kitu kingine mtoto akiwa tumbon damu inakua ni ya baba na si ya mama. Kwahiyo damu ya mariam haikuingia kwa Yesu. Kwahiyo Yesu anadamu ya Mungu Roho mtakatifu. Damu yake tunasema haina hila wala mawaa. Ndio maana tunaitumia hata ktk kujitakasa sisi na kuitakasa ardhi. Bwana Yesu asifiwee. Wote tuseme Amen
Amen AmenAmina Amina Ubarikiwe kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo mfufuka alie hai kwa ufafanuzi huo