Ibada ya Ijumaa Kuu on KLH News "Live" From Zenji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,676
40,555
Ingia kwenye http://www.ubroadcast.com
Download player kwenye sehemu inasema "Listen"
Ikishadownload, andikisha na uifungue (vyote bure)
Kwenye mahali pa kujaza namba ya station ingiza namba "10383"
Halafu click "Jump"

na ufuatilie ibada ya Ijumaa Kuu inayoendelea Live toka Kanisa la Mt. Joseph mjini Zanzibar... Tunawaletea matangazo haya kwa hisani ya Radio Maria Tanzania.
 
Mkjj, kuna background noise kubwa.. I guess it's just an ambiance one would expect for broadcasts from hapa Tz.. i don't know..

... hata hivyo matangazo yamesikika. Asante.
 
Asante Mkjj,

ninakupata ingawa kama alivyosema SteveD kulikuwa na background noise mwanzoni na pia kwangu ilikuwa inapotea kiaina. So far it is good. Good job, ni mwanzo mzuri sana huu!
 
Hivi kanisani leo wana Mangelepa ndio ni kwaya au nimeboogie step??

mzee mwenzangu umechelewa... ila baada ya muda kidogo nitakuwa hewani kuadhimisha Ijumaa kuu kabla ya kurudi kwa wana "nyako nyako".. na vibao vipya ambavyo utavisikia kwa mara ya kwanza hapa..
 
Back
Top Bottom