Iache nyumba yako ipumue

Iache nyumba yako ipumue

[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kuna aina ya mavazi
Aina ya mapambo
Aina ya mziki humtambulisha mtu hata anapoishi...! Unakuta mdada ana furushi la nywele kichwani tena bandia, ana hereni mbili mbili masikio yote, ana Kishaufu puani, ana mapete vidoleni mikono yote, ana mabangili, ana cheni shingoni, shanga kiunoni, vikuku miguuni..
Ana nyusi bandia kabandika, ana makeup mpaka hazitoshani usoni...huyu ukimkuta miziki yake anayopenda.... Ukikikuta chumba chake au nyumba yake ... Ukiikuta dressing table yake ni full vurumai

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha kuna nyumba moja nilipanga.... Lkn alienipisha aliniomba awache vitu vyake kwa muda maana alikuwa yupo mbali.

Bhana wee hayo mavitu alokuwa nayo mie mwenyewe nlichoka.

Siku alokuja kutoa vitu vyake nilishukuru.
Hayo mawigi. Maviatu mengine hakuwa hata anayavaa. Viti vibovu yaani kuna vyengine nlishaanza kuvitupa kabla hata mwenyewe hajaja. Nikabakiza vile nnojua ni vya muhimu.

Yaani kulikuwa na mapanya hadi tukilala wanatuchupia vitandani.

Baada ya hapo nikafanya renovation na usafi wa kufa mtu. Mpk nahama panya tulikua tunawasikia kwa jirani tu.
 
Tatizo kuna watu wengi sana wanaamini utajiri ni kumiliki kila aina ya kitu,mwisho wa siku wanajikuta wao ndiyo wameibeba Dunia,badala ya Dunia iwabebe wao!!
 
Si kila wenye mapepo wametupiwa wengine wameyakaribisha wenyewe kutokana na lifestyle ndani ya sehemu wanazoishi

Kiongozi, nifafanulie hapa... una maana mapepo yataingia kwenye nyumba iliyo na mlundikano? lifestyle? kwa vip?
Hata wadudu wengine nao ni mapepo,siyo wadudu Kama tunavyozani!!
 
Umenikumbusha kuna nyumba moja nilipanga.... Lkn alienipisha aliniomba awache vitu vyake kwa muda maana alikuwa yupo mbali.

Bhana wee hayo mavitu alokuwa nayo mie mwenyewe nlichoka.

Siku alokuja kutoa vitu vyake nilishukuru.
Hayo mawigi. Maviatu mengine hakuwa hata anayavaa. Viti vibovu yaani kuna vyengine nlishaanza kuvitupa kabla hata mwenyewe hajaja. Nikabakiza vile nnojua ni vya muhimu.

Yaani kulikuwa na mapanya hadi tukilala wanatuchupia vitandani.

Baada ya hapo nikafanya renovation na usafi wa kufa mtu. Mpk nahama panya tulikua tunawasikia kwa jirani tu.
Yaani kulikuwa na mapanya hadi tukilala wanatuchupia vitandani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ukwl mzee baba..halafu kwenye usafi ni malalo ya utajiri sometimes kwenye uchafu nako umasikini juu...
 
Hii ni ya uhakika na sahihi kabisa.
Hata kama itahitaji gharama kidogo lakini italeta matokeo chanya
 
Hoja ya msingi sana hii.... Mkuu umeongea ukweli mtupu.....
Hii ni ya uhakika na sahihi kabisa.
Hata kama itahitaji gharama kidogo lakini italeta matokeo chanya
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] wengine ni mpaka ofisi zao na magari pia... Ofisi ni kama ghala ya vichaa na gari ni kama dample la city

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Panya nao sasa wakianza kuleta taharuki zao na ukajaribu kuwawekea sumu ni hadi amalizikie humo ndani maana hutomuona kamwe!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom