I wish I had a husband already

I wish I had a husband already

Ahh wapi siko interested na pesa ya mtu maana mi mwenyewe najua kuzitafuta zangu pole sana.... I pay my own bills, I drive my own car, am building my own house, I have my own businesses so pesa ya mtu hainishtui by the way am comfortable in spending my own money not any one else's money..hope you got me..am not a gold digger
Sema aki ya Mungu!!
 
Nyerere alipiga sana vita ukabila, naona taratibu mnaanza kutubagua kwenye mahusiano based on our tribes, nyie haya tu!!!
Hahahaaaa!! Mmezidi ubahiri bwana nk.🙈🙈🙈🙈
 
Nitapambbana nae hivyihivyo mpaka atakaa kwenye mstari na kuwa mume bora
Mnatafuta warefu mkiamini kuwa hawana vibamia,,,vipi mkikutana na mrefu mwenye kibamia au mfupi mwenye inch 12???hivi messi akikutaka utamkataa kisa mfupi??
 
Hahaha mbona mie wazee wangu unaeza sema wametokea umasaini! Ni matolu wote, ufupi its just a genetic issue! Kama ndugu zangu wangu wote ni matolu 185cm+ ila mie ndio mfupi it shows hata mie nina T kubwa ndani yangu so its likely ntakuja kuwa na watoto warefu mbeleni!
Kuhusu kupenda pesa ni ipo sana kwa jamii za watu maskini hata huko ulaya, Watu ambao baba zao wali win mapema wakakulia katika Lavish lifestyles hata hawababaikagi na hela! Anaenda anapata zake ila hutamskia akimsumbua mumewe eti kisa ana pesa, maskini ndio tunaleteanaga shida!
Wooiii kumbe mpare🙆🙆🙆

Ni nature, mtu anavutwa na asichokuwa nacho.
 
Mnatafuta warefu mkiamini kuwa hawana vibamia,,,vipi mkikutana na mrefu mwenye kibamia au mfupi mwenye inch 12???hivi messi akikutaka utamkataa kisa mfupi??
Ndio nitamkataa maana hajameet vigezo vyangu
 
Huyu espy sijui ana nini na wapare, sijui amewahi kudate na wapare wangapi, manake reference zake nyingi ni wapare, haoni waluguru, wapogoro, wakinga nk. Huenda tumemtenda sana manake thithi bwana!!
Hahahaaaa!! Wapogoro na waluguru watu poa sana, nimeishi nao for years hawana makuu thats why siwatumii kama reference, ila wapare sasaaaaaa!!!
Hamjanitenda jamani basi tu.
 
Acha urongo , wapare ni wafupi by nature kivipi, makabila mengine hayana breeds fupi...

Hapa natetea origin yangu tafwazali!!!
Hahahaaaaaaaa!!! Eli niwache bwana, wafupi alafu sasaaaaaa...........🙆🙆🙈🙈🙈
 
Lovely words, every man wants to hear from ..... lovely wife
 
Inabidi tumuandane hadi aache kutubagua, Nyerere alikataa ubaguzi au kama unaweza umtongoze ajue swagga zetu mkuu.
Hahahaaaa!! Namtaka mdogo wako, kama yuko kama wewe lakini, kama sio basi simtaki.
 
Wewe hufai kuolewa sababu hata ukipata mume leo hii kesho ukikutana na mwanaume mrefu kuliko mumeo utacheat. Endelea kuwa Single hivyohivyo tuu!
 
Vipi kuhusu sketi, maana mko njema kipande hiyo duuh!!
Kuhusu sketi tunashona aina mbalimbali, za shule, kiofisi, hotelini n.k! Tunao mafundi wabobezi katika ushonaji wewe pia unakaribishwa!
 
Chagua kitu roho inataka mama.
Wanaume wafupi, wembamba siyo kabisa. Japo vinajua kupenda na kumganda mtu kama ruba.
 
Back
Top Bottom