I wish I had a husband already

Kaka mtandaoni hakuna tofauti na kituo cha basi ama sokoni. Unaweza kukutana na watu wema tu na mkawa ndugu ama wapenzi kabisa.

Tatizo lenu vijana ni pupa. Hamuwezi kukutana leo mkapendana kesho, yafaa muwe marafiki kwanza kabla ya wapenzi
Yaan me siaminigi hawa wanaoutafuta wapenzi mitandaoni..
Huko nje kote umekosa
 
Nnae mmoja kila dk anaita hubby mie nacheka tu maana najua sina lengo kabisa. nisameheni wakuu

Kama jamaa anapata migegedo tumekusamehe, hilo Lengo peleka kwenye biashara nayeye anakuchora tu ili uendelee kumpa papuch..
 
Sijapata aliekidhi vigezo sitaki kuwa na mume ilimradi ni mwanaume I want a husband atakae nitia hamasa ya kufanya nae mapenzi kila ninapomuona au kumfikiria sasa akiwa mfupi siwezi kulowana kabisaaaa

Na hauwezi kupata, Labda umuumbe wa kwako..

Hapo ni sawa na kumkumbuka mtu usiye mjua
see you at 40's
 
Sisi warefu hua atuoi waliozidi miaka 30 kwani wengi wametumika sana
 
Hahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
I have read three times only this phrase..." give you good sex anytime you need...."

Sijui kwa nini.....!!
 
Bado hujaanza kutafuta mume... siku ukianza kutafuta mume haitoisha week utampata. Sasa hivi unatafuta mtu wa kula nae maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…