I want to marry My Mother | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I want to marry My Mother

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kana-Ka-Nsungu, Sep 11, 2008.

 1. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  ‘I wanna marry my son’
  Sunday August 17, 2008 00:49 - (SA)

  A Zimbabwean woman and her son have done the unthinkable – they have
  fallen in love with one another.

  And now they want to marry since the mom, Betty Mbereko from Mwenezi
  in Masvingo, is six months pregnant and expecting her son’s child.
  Mbereko (40), who was widowed 12 years ago, has been cohabiting with
  her first child, Farai Mbereko (23).

  She confirms that she is six months pregnant and that she has decided it is
  better to “marry” her son because she does not want to marry her late
  husband’s young brothers, whom she says are coveting her.
  Betty stunned a village court last week when she said the affair with her
  son had begun three years earlier.

  She said after spending a lot of money sending Farai to school following the
  death of her husband, she felt she had a right to his money and no other
  woman was entitled to it.

  “Look, I strove alone to send my son to school and no one helped me. Now
  you see that my son is working and you accuse me of doing something
  wrong.

  “Let me enjoy the products of my sweat,” she told the village court.
  Farai said he was more than prepared to marry his mother and would pay
  off the ilobola balance his father had left unpaid to his grandparents.
  “I know my father died before he finished paying the bride price and I am
  prepared to pay it off,” he said.

  “It is better to publicise what is happening because people should know that
  I am the one who made my mother pregnant. Otherwise they will accuse
  her of promiscuity.”

  But local headman Nathan Muputirwa says: “We cannot allow this to happen
  in our village, mashura chaiwo aya, (This is a bad omen indeed). In the
  past they would have to be killed but today we cannot do it because we are
  afraid of the police.”

  He warned them to break off their marriage or leave his village.
  They chose the latter and have left the village for an unknown destination.


  source:sunday mirror (SA)

  Just one from me as my take- SHOCKING!
   
 2. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Mh!!! Hii ni kiboko kabisa. Nadhani hawa watu wana pepo la ngono yaani dogo kummenya mother wake kabisa....Mungu apishiie mbali hapo kuna tatizo.
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nikiwa Mazengo, mwalimu wetu wa Kiswahili ingawa alikuwa Mpare, alitufundisha wimbo mmoja mzuri sana wa Kigogo. Mwalimu au mama Kasira nafikiri hakujua wimbo unaimbwaje ila alijua maneno. Nafikiri hawa jamaa walitakiwa pia waimbiwe hadi wauelewe huu wimbo. Wimbo unasema "Myujiyuji, mti wa lulenga si wa kukata zengo". Sijui kama nimepatia maana hii ilikuwa miaka ya 80 katikati na mimi si Mgogo mla Wa-Mhumba. Ila maneno ya wimbo huo ni MAZITO sana kuwa "huo myujiyuji, pamoja na kuwa ukiuna ni MZURI SAANA kujengea nyumba, ila HAUFAI." Hapa somo ni kuwa dada yako, kaka, baba, mama, mwanao na uzuri wao wote utakauona, SI WATU WA KUOWA na KUOLEWA nao. Na si kuowa tu, hata kutembea nao.
   
 4. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kuna mzee mmoja kule kijijini yeye hutembea na watoto wake wakuwazaa tena anawaanza mwenyewe ... ila naambiwa huyu mzee alilaaniwa na mama mkwe wake ... alienda kumtembelea wakati anaumwa .. watu wote pale nyumbani wakawa na pirika mpaka huyu baba akajikuta kabaki pekeake na mgonjwa .. akaamua kumfaidi .. kutoka siku ile yule mama akamuapiza mkwewe kama atakuwa kama mnyama na hatajua halali wala haramu yake .. na kweli vitoto vyake vyote vya kike huviingilia wangali wadogo sana na vingine kuvizalisha hata ukienda kuoa unakuta baba mkwe kishakutangulia tena mapema, haashwi na mjukuu wala mtoto wa jirani mpaka kero yani

  Hao hapo K.K.N wanalaana
   
 5. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mtoto umleavyo.....
  .
   
 6. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  I know its disgusting, I felt like having shower after reading this article but frankly I have fallen in love with hako ka statement ka mama mtu hapo juu! Anakula jasho lake!!!
   
 7. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Akizaliwa mtoto wa kike, mama... sorry, mke akafariki kabla ya bwana, baba naye huenda akaamua kula jasho lake.  .
   
 8. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  Mbwa kala mbwa!
   
 9. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Huyu mwanamke alifiwa wakati Farai ana miaka 11. Nafikiri amedanganya kwa kusema they started a sexual relationship just 3 years earlier (as stated on the article).
  Na kama anachosema huyu mama ni kweli, ni dhahiri kwamba malovee (tofauti na sexual intercourse) yalianza Farai akiwa mtoto and this could be a form of child sexual abuse.

  .
   
  Last edited: Sep 12, 2008
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Umenikumbusha haya mambo yapo na watu wanaona kawaida siku hizi.....kuna mzee namjua yeye akikukuta uko na binti yake huo ugomvi hautaisha....kumbe alikuwa anawamega mabinti zake anampa mama likizo aende kijijini yeye anakaa na binti zake na wale mabinti walikuwa wanampenda sana mzee wao.....
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...isshhh :( ....! (UNTHINKABLES!)

  ....na mjukuu akiwa mwanaume "dhambi" ya asili itaendelea... inafaa washughulikiwe hawa kabla hawajaaribu
  Genome.
   
 12. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2008
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  I got just one word ABOMINATION. What ever happened to the sacred duty of a mother to lead and guide their children. Our example is Holy Mary mother of God.
  Yaani i cannot dare imagine her "sound effect" when sleeping with the son!!!! May God forgive them.
   
 13. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Huyu mtoto atakae zaliwa lazima atakuwa na matatizo.... Nimewahi kukutana na watu wenye matatizo kutokana na ndugu zao kuoana wao kwa wao.. sasa hili la mama na mtoto wake ni lazima litatoa matatizo makubwa kwa mtoto wao.
   
 14. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2008
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Hawa pia ni maisadi wakubwa
   
 15. Lasthope

  Lasthope Senior Member

  #15
  Sep 12, 2008
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ........and we are here complaining whats wrong with the world...... laana ndugu zangu laana, binadamu sasa hivi hawana aibu
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  .........jamani kwani hawa kwa mjibu wa sheria wamefanya kosa????Wamekuwa kama mifugo yenyewe haichagui mama,dada,binamu wote ni kukandamizana tu imradi production inaendelea.....
  Mtu anajilia jasho lake du! ha ha ha
   
 17. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mtoto atakaye zaliwa atakuwa amezaliwa na bibi yake at the same na mama yake...wakati huo huo ni kaka yake na ni baba yake...atakuwa anaishi na baba yake,mama yake,kaka yake, na bibi yake...lakini ni watatu tu.
   
 18. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Ndiyo wamefanya kosa kwa mujibu wa moral rules. Pia kidini wamefanya kosa, Bible inasema "na alaaniwe alalae na mke wa babae na watu wote waseme amina.

  Biologically, watu wa familia moja wanaweza kuzaa mtoto mwenye udhaifu mkubwa. ndiyo maana cross-breeding zinapendeza, hivyo hata unapooa au olewa vema ukaenda kabila la mbali na lako.
   
 19. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2008
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145


  hapana, mkuu! hebu soma tena hiyo story. nadhani alikuwa na maana ya kwamba miaka mitatu nyuma....kuanzia wakati wa hiyo kesi inayoendelea. yaani wakati kijogoo wake ana miaka 18! iwe iwavyo, this is total #%4&8@33!!! There, i've said it!!
   
 20. Mswahilina

  Mswahilina Senior Member

  #20
  Sep 12, 2008
  Joined: Apr 7, 2008
  Messages: 171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapa kuku ameamua kula mayai yake mwenyewe, hataki watu wayale.
   
Loading...