I Want Everyone To Write Down Their Height And Weight

I Want Everyone To Write Down Their Height And Weight

Boflo!
Sisi wanaume tuna urefu wa vitu vingi, yaani zaidi ya kimoja ! So au pengine humaanishi urefu wa kimo!
 
Basi kama haujui Mwali......
wanawake wafupi na waliojazia ndio hotcake
Nani kasema sijui? najua sana, nilipimwa hapa juzi
pindi nilipoenda kupata chanjo. lol
 
Sidhani, ni mtu muaminifu sana, recomended by shangazi yangu.



Kha :shock:! Pun zingine hata haziswihi. Mi Mwali bwana...

Usimung'unye mavokali ! Kama una jipu mdomoni! Sasambua majibu! Alaaa!
 
Shem, tafadhali...
Kwanza unafanya nini huku wakati cousin wangu kisha lala?

Shem!
Ungependa niwe wapi ?
Mbona hata hivyo cousin wako ramani haisomi ? Ni kama keshanipa kibuti !
 
Back
Top Bottom