I Want Everyone To Write Down Their Height And Weight

I Want Everyone To Write Down Their Height And Weight

Height 135cm. . . Weight 75 kg

Enheee. . .What's next?

BMI: 41.2 Punguza Chips, Punguza Makande, Punguza Ugali. Fanya Mazoezi maana Uzito wako haiendani na Urefu wako
 
Kiinglish si lugha yetu. Jamani tutumie Kiswahili chetu. Sijawahi kuona ubaya wake.

Kichwa cha habari katika huu uzi mie hoi.....
 
BMI: 41.2 Punguza Chips, Punguza Makande, Punguza Ugali. Fanya Mazoezi maana Uzito wako haiendani na Urefu wako

Embu niache. . .
Haviendani wakati mie naona vinaendana?
 
Back
Top Bottom