I think she is cheating!

madurufu

Senior Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
110
Reaction score
54
Habari wana JF.

Ninamchumba wangu anafanya kazi mkoani na nipo daslam. Nampenda sana na tumekuwa kwenye mahusiano miezi kadhaa. Amekuwa na tatizo kubwa la kutopokea simu yangu hasa wakati wa weekend usiku na mbaya zaidi kama ni jpili atanipigia akishafika ofcn. Nimejaribu kumuonya several time but she is still doing the same.

Kadiri siku zinavyo zidi kusogea naona long distance relationship itanishinda. Naomba ushauri what can i do with her.
Nawasilisha.
 
Nimekuwa nikifanya hivyo naenda na some time anakuja but its like three weeks mfululizo naona mambo kama sio mazuri sana!
 
ni mchumba au girlfriend (kimada)
...mchumba means you have done some formalities hasa kwa wazazi...short of that ni hawara/kimada tu.
 
ni mchumba au girlfriend (kimada)
...mchumba means you have done some formalities hasa kwa wazazi...short of that ni hawara/kimada tu.

I am on the process kwenda kujitambulisha na wazazi wake wamesha ambia they know soon watapata wageni
 
Mchumba is more than a GF... get more evidence to assist you to make your final decision.

Thanks mkuu kesho nataka nitimbe maguu kwake bila taarifa i am sure naweza gundua kitu.
 

pole sana mkuu. Usichukue mamuzi ya kudai anachet. Katika hizo siku ambazo unahisi msapraiz uende na ukifika uwasiliane nae kawaida. Ukiona kigugumizi ibuka geto tena night ndo utaamini uwazayo.
 
Ningekuwa wewe wala nisingejihangaisha na kwenda kumuwinda. Ningefuata mtima wangu. Piga siu wknd hapokei, na mie jumatatu akinipigia ndo imetoka hiyo. Sipokei na sina aelezo marefu. Akianza kukusaka na kuja muambie nilikuwa serious kuhusu kutopokea simu.
Angalia hii....utaenda kesho. Kumbe huyo jamaa yake coincidentally amesafiri ama ana ugeni kwake. Usipomkuta utasimangwa wewena kulazimishwa kumuamini maisha yako yote. Lakini kwa sababu ushapoteza imani, mtaoana na siku umesafiri wewe na simu hazipokelewi utaugua maradhi ya moyo.

Maneno hayabadilisha tabia,fanya vitendo. Hata kama anakucheat lazma awe na adabu na awaambie mabasha wake kuna mwenye mali (nilisoma mahali UNATAKA UMLE PEKE YAKO, KWANI SUMU HIYO?)
 
.....
Maneno hayabadilisha tabia,fanya vitendo. Hata kama anakucheat lazma awe na adabu na awaambie mabasha wake kuna mwenye mali (nilisoma mahali UNATAKA UMLE PEKE YAKO, KWANI SUMU HIYO?)

teheheheheh...hapo kwenye red nimeku-PM, bahati mbaya PM service iko off leo.
 
pole sana mkuu. Usichukue mamuzi ya kudai anachet. Katika hizo siku ambazo unahisi msapraiz uende na ukifika uwasiliane nae kawaida. Ukiona kigugumizi ibuka geto tena night ndo utaamini uwazayo.

Thanks! Ila sihitaji kugombana nae nataka nikae mpaja jtatu asubuhi na nitakuwa nae the whole weekend nisome mazingira yake. I am sure kama kunakitu nitajua. Especially mawasiliano. I dont mean kukagua simu yake but simu zitakazo ingia tukiwa wote etc. Nikigundua kitu jtatu asubuhi nikiondoka hanioni tena!
 
Nampenda sana na maisha ya kibachelor nimechoka. Napenda sana kufanyia kazi ushauri wako ila nimapema sana ngoja nijirizishe then nitachukua hatua. Ingekuwa sio sumu watu wasingenatana. Thats is for single person use mkuu.😀
 

Hizi zinaitwa za uso...King'asti umesomeka! Sie waZaramo tukifumania wake zetu kwanza kabla ya kukasirika unashangilia kuwa 'nimeoa mke mzuri'...kisha mengine ndio yanafuata!
 
Another relationship saga! YAWNS!!!!!!!!!!:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Pata uhakika na usiwe mtu wa kuhisihisi tu. Do your best kujua ukweli behind hii kitu na ukweli ndio utakaokuweka huru tu,coz utajua kama anacheat au la then utafanya maamuzi ya moja kwa moja!!
 
i realy dnt know y midume bado mnaujinga huu walong distance...it never works..if they say it is basi jua kuwa one or both are cheating
 
Nimekuwa nikifanya hivyo naenda na some time anakuja but its like three weeks mfululizo naona mambo kama sio mazuri sana!

Mfanyie suprise vist during weekend hasa usiku kuanzia saa 4 usiku,jibu utalipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…