I think am in love with the wrong person

Nilichogundua ni kwamba nampenda ila sitaweza kumwambia hata iweje maana sipendi kujishusha hasa kwa mwanaume anione mimi nampenda sana
Una safari ndefu sana kama kweli hutabadilika
Clkey unafaa kutulizwa ndani[emoji7] [emoji8]
 

Naona bado hujapigwa mashine vizuri wewe
 
Hupendi kujishusha?... Real love speaks opposite
 
Dah.... Ndiyo maisha ya mapenzi yapo hivyohivyo tu....usiogope ni kawaida kabisa.....mtaparuzana kucha na kutiana ngeu....huku mkiendelea kufyatua tu.....[emoji87] [emoji41] [emoji23] [emoji23]
 
I think you are in love to the right person but for the wrong reasons so ushauri wangu kwako be clear to yourself before you expect others to be clear to you
 
kwa mtindo wako utakazwa na man kibao....kama miezi 3,,,mmeingia kwa mahusiano,,,mshakazana,,,,,mshavurugana na kuachana,,,,kwa ss kuna mwingine anakuvizia......umri unaenda bibie.....endelea kuwakatikia.........watakuja watajua jamvi la msibani.....haoooo
 
First thing u have to grow up. A real man or a real women hawaachan kitoto namna hiyo na kutupiana maneno machafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…