I think am in love with the wrong person

Kama tatizo lako umelijua,jitahidi mahusiano yajayo ubadilike
Ama kama unaweza kumrudia huyu unayempenda sasa hivi mrudie alafu ubadilike

Alafu seriously utaachana na wangapi mamaa..
 
Hakuna mwanamke mwenye kujielewa ana tabia hiyo. Hizo ni tabia za kwenye madanguro. Jiandae kwa law of karma.
 
You're still a girl for goodness sake, kuwa kwanza uwe mwanamke.
 
Mdada usiteme bigjii kwa karanga za kuonjeshwa jishushe tu na pia omba msama pale unapokuwa wrong usje juta badae mamy
 
Wakati wa uchumba ni wakati wa msichana kujiishushaaaa yani shukaaaa hata na yy hatakua na sbb ya kukukwaza ndo wkt mwanaume anapenda na mara nyingi hulinganisha ww na mtu mwingine so ukileta ngebe anakuona wa nini ndo kwanzaa asubui kisa cha kumwekea giza??? Anasepa. So ushauri acha kuleta kiburi
 
Yalaaaaa umenitoneshaaa! Tabia zako hazitofautian na aliyekuwa mchumba wangu ...alikuwa anafanya utoto mbaya zaid alikuwa ana approach 30.
Ushaur wangu:tulia;jiheshimu,mweshim mpenz wako,tumia akili yako vizur alikupa Mungu,kubali kutii na kujishusha,kuwa mwepesi kuomba msamaha na kuwa mwepes kusahau, haya kwa kifupi yanaweza kukusaidia,vinginevyo utaishia pabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una umri gani? Mi nahisi ukikua na ukielewa unachokitaka katika mahusiano utatulia! Na kama ni mkubwa! Utakuja jutia baadae jua likizama!
 
Nitafanyiakazi hili! Nashukuru
 
Una umri gani? Mi nahisi ukikua na ukielewa unachokitaka katika mahusiano utatulia! Na kama ni mkubwa! Utakuja jutia baadae jua likizama!
Yah ni mkubwa! That's why nataka kuchange sitaki kurudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…