ww si unaenda tu kama mtalii na kurudi,
nenda weka makazi kama hujafukuzwa kama mbwa,
these guys know nothing about humanity
http://t0.gstatic.com/images?
q=tbn:ANd9GcTcpX2H-tWc023ZT9x6bsUsejuc5ISt5yCZjzvPKK6mGWxNFYmUxw
Maneno ya Uongo hayo ya Mtume Paulo toka mjini Roma Italy. Uwokovu hauwezi kutokana na mtu kifo chake . Kila mtu atauchukuwa mzigo wake mwenyewe. Kila mtu atabeba Madhambi yake mwenyewe. Kifo cha Bwana YESU hakiwezi kuwa ndio uwokovu wetu sisi sote*. Ni maneno aliyoyatunga Mtume Paulo ni maneno ya uongo.
Kwanini ukiwa Muislam unashabikia Waarabu?
Unahangaika kuyaelimisha mazuzu hayo yalishashindikana. Adhabu kali ya MWENYEZI MUNGU inawangoja ila kwa vile uzuzu umewajaa hawalijui hata hilo.Apologies, but I have to say this is a very stupid reply coming from a... Hata mtu hafikirii swali kwanza? Umekwenda shule wewe? Nimesema Waisraeli ni Jews waliomwua Mungu wenu. Nashindwa kufahamu kwa nini mnawapenda?
(Hata kama si kweli kila Mwislamu kuwashabikia Waarabu) lakini at least wengi wao ni Waislamu pia . Waisraeli hawana dini moja nanyi. On top of that they hate Christians more than they do Muslims (They hate Muslims for other reasons than religion).
Desmond Tutu - ni mkirsto na mtu anaehishimiwa na wote duniani lakini anasapoti wapalestina sababu anajua maafa ya ubaguzi na dhuluma. Huu mgogoro hauna udini ila ni baadhi ya watu wasiofahamu ndio wanazuzuka. Kama mnafatilia udini kuna waarabu wengi ambao wakristo kuliko wayahudi ambao ni wakristo.
Desmond Tutu - ni mkirsto na mtu anaehishimiwa na wote duniani lakini anasapoti wapalestina sababu anajua maafa ya ubaguzi na dhuluma. Huu mgogoro hauna udini ila ni baadhi ya watu wasiofahamu ndio wanazuzuka. Kama mnafatilia udini kuna waarabu wengi ambao wakristo kuliko wayahudi ambao ni wakristo.
source; A year in review: Anti-African racism and asylum seekers in Israel | +972 Magazine
Kwa nini wanang`ang`ania nchi ya watu???wahamiaji haram hata hapa kwetu wanapopatikana wanapata joto ya jiwe kama wao waliona Israel ni wakatili kwa nini wasiende nchi za kiarabu???? naamini walienda huko kwa kuwa ni nchi nzuri tatizo hawakufuata utaratibu wengi wao walitokea Eritrea Sudan na kwingineko Swali kwa nini hawaendi nchi za Ki-ARABU????Wanajua watafanyiwa vitendo ambavyo si vya KI-BINADAMU watu wale si wazuri.
and this is how Africans are treated in Israeli...
Eee Mungu wangu eti ni kweli ili nikuabudu vizuri naambiwa ni-stand with Israel kwa mabaya yoote no matter killing my brothers and sisters???
source;Jewish Supremacist Hypocrisy: As Africans Beg to Flee Racist Israel, ADL Demands Open Borders for America - David Duke.com | David Duke.com