Unaposema Jesus ni Human toa refrence kwenye Bible umefikiaje uamuzi huo, bila quote ya Bible ni ubishi wa kipuuzi tu.
Aidha hutaki kuelewa au unahmisha magoli.
Ok nakutumia ya kiswahili il i iingie mu kichwa.!!!
1 kor 2 : 14
Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
Kwa kifupi huna uwezo wa kuleweshwa. Ukiamua sio Mungu ni sawa tu kwako haina kipengele.
Mwisho kwa Taarifa tu. Nimeshadhuria sana Mihadhara ya akina Mazinge, na kukutana na maswali kama hayo na mengine naweza kukuongezea ambayo wao wanadhani ni maswali magumu yenye utata.
Mwisho Jesus awe Mungu au Mwanadamu yeye Jesus ndie atakerudi duniani kwa Mara ya pili baada ya miaka kibao. That makes him superior above the natural man. Kwanini asije Muhamad ambae anaabudiwa maaelfu au Krisner au Sai Baba.
Na atakaporudi ndio mwisho wa dunia hii kwa mujibu wa Biblia not so sure in the Quran.
Wengine wote akina Adam, Ayubu, Musa, Elia, Joshua, Muhamad, Yohana, Moses Kulola, JPM, Kingunge, wamekufa moja kwa moja and all are waiting Judgement.