Natamani kuwa na familia umri wangu 26 kama upo serious, Pm
Sali mama yangu weeeh......sali sana!
Unakubali kuwa mke wa pili? ila nakuahidi nitakupenda.
dah,yaani bahati hizi zinakuja baada ya mimi kuoa,mbona hazikuja kabla?
Kazi imeanzaaa hapaa
Itakuwa kazi kumpata aliyehuru/ wanawake ni 51% wanaume 49% takwimu 2014.
Hii naipenda maana hapo ndipo ukomavu wa usawa wa kijinsi. Siyo mwanaume kila wakati aanze. Kwako Kimaro, upendo kwa mwanamke tunaambiwa huja taratiiiibu si kama mwanaume. Hivyo atakayekutokea chunguza 'sustainability' na komaa naye.Natamani kuwa na familia umri wangu 26 kama upo serious, Pm
Kwa hiyo ndio tuwe wake wadogo au??
Natamani kuwa na familia umri wangu 26 kama upo serious, Pm
Yes I will if ua serious