I need husband

Zama katika maombi mazito(hata kwa kufunga) dada yangu. Mungu wetu ni mwaminifu mno, atakupatia mwanaume kwa vigezo unavyohitaji wewe, na zaidi ya hapo kwa sababu siku zote hutuwazia yaliyo mema.
 
Weka namba ya cm au mawasiliano private co public namna hii kama uko sirious kwan swala lenyewe ni sirious nakwanza linaitaji confidentiality
 
You have right idea bt ths is not right way. I dn't thnk the age u have. U dnt have boy frind, why dnt tel hm first it means there is problem some where u knw ur self. What can i tel u be cool and go slowly u wl get the right one 4 u. The best thng ur a woman and u have increased ur value to have education and work.
 
Natamani kuwa na familia umri wangu 26 kama upo serious, Pm
Hii naipenda maana hapo ndipo ukomavu wa usawa wa kijinsi. Siyo mwanaume kila wakati aanze. Kwako Kimaro, upendo kwa mwanamke tunaambiwa huja taratiiiibu si kama mwanaume. Hivyo atakayekutokea chunguza 'sustainability' na komaa naye.
 
Ni PM fasta tafadhali tukutane kwanza ili tu testiane kujua tunaweza kumatch. Nina mke na watoto 10, nipo serious kabisa na wewe utakuwa mke wa pili a.k.a Bi mdogo.

CV. Nina elimu ya chuo kikuu ya postgraduate, nina uzoefu wa kuwa kwenye ndoa kwa miaka 10, nina uwezo wa kumpa mimba mwanamke kwa kadiri ya anavyotaka, nina uzoefu wa kutunza mke na watoto.

Karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom