I need husband

I need husband

Mmmmh. ok

Nipo Mwanza, nami pia ni mtumishi wa gvt idara ya mipango.Dini ni mkristo na umri wangu ni 34.Endapo upo serious njoo Mwanza tupime mdudu kujua afya kisha kila mtu aione rangi halisi (tabia) ya mwenzake.
 
Ni Christian naabudu Luthera, nina Degree 1 ya Industrial Relation, nimeajiriwa gvt sector CMA commission of Mediation and Arbitration nataka Husband Mcha Mungu.
Ogopa mayahaya maana wakisikia hayo wanakuja kwa spid....bebi bebi nyingii...Kila raher katika mafanikio ya mume
 

Attachments

  • 1003803_686137994747610_642860804_n.jpg
    1003803_686137994747610_642860804_n.jpg
    90.6 KB · Views: 269
mchaga!!! haya kwa wale wanaosema hawana bahati ndoano hiyo meza mtoto 26yrs
 
Nakutakia mafanikio upate Mume Bora asiwe Busy kama Sisi
 
probation ndo shake well before use I mean kugegeda ama ? manake kuna kamsemo eti tunatafunatafuna tupa kule kaazi kweli
Oh yeah,hatutupi kama ina utamu endelevu...lakini ikiwa ni kama muwa(sugar cane) basi twatafuna na kutema kapi!
 
watu wanaleta utani mwenzenu yuko serious
sio vizuri kabisa


.. Shanty kimaro...muombe Mungu tu...atakupatia
 
Last edited by a moderator:
Ni Christian naabudu Luthera, nina Degree 1 ya Industrial Relation, nimeajiriwa gvt sector CMA commission of Mediation and Arbitration nataka Husband Mcha Mungu.

Unataka wako mwenyewe au unaweza shirikiana na mkwe mwenza?
 
Hivi ni kweli kuwa ndoa zinahitajika kwa hali na mali kias hicho? Naona matangazo yanazidi ....... Kila la kheri bi dada

anza kutoza kodi ya matangazo madogo madogo, umilionea unakunukia bro
 
Ukitaka mume usiweke kigezo cha dini,age avina nafasi,mm nakutaka kikuoe nipo dar nipm

We call them checklist
Wanawake wanaendeshwa sana na hz makitu aisee n the funny thing is they never learn
 
Hivi ni kweli kuwa ndoa zinahitajika kwa hali na mali kias hicho? Naona matangazo yanazidi ....... Kila la kheri bi dada
imefika sehemu wanawake wameanza kujitambua,hii ni baada ya wanaume kujitambua na kuanza kukwepa majukumu.
 
Nimesoma fasta ila baadae nikashtuka..nikushauri kama ulivyosema huna wazazi..pls pps pls pks pls dont get into trouble ndoa za siku hizi ni moto hakuna upendo wala nini si mwanamke si mwanamume siku hizi hakuna.anakuoa leo kesho michepuko kama kawa...unaolewa leo vidumu kibao..ukitaka kuishi kwa stress maisha yote get married..utanipa report baada ya miaka miwili

Mkuu! Love is a choice! Sio those feelings and emotions, they just assist in making the choice! So all u have to do ni ku-make a choice, na kustick to it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom