I need husband

I need husband

Semawazi
Anatoka Atcl,Bot,BBC,nbc,nmb,ttcl,airtell,nic,voda,tigo

Semawazi
 
hv upo serious kwel au maana mm npo serious kwel na ucje ukawa haumaansh itakuwa haipendez
 
Mie mwenyewe ni she aproach 30yrs nasaka husband material na awe yupo saafi kifinancial.
 
Tatizo la love connect ya Watanzania bado haijawa serious...Ukisema unatafuta basi watu wantakuwa wanakusanifu...Bado wanafikra mbovuuu...Tunatakiwa tubadilike tuwe serious ktk mambo tunayoyafanya .....

Wako wengi wanakosa wenza ila kupost inakuwa ngumu.....Bora hiyo ya kutafuta wenza iwe ya kulipia km Elfu kumi then mtu kutoa comment mbovu mbovu itakuwa shida sababu inagharimu...Ambaye yupo serious atalipa sababu anashida ya kutafuta mwenza...

Ni mawazo yangu..
 
Duuu we jamaaa una ubongo mzuri sana
Big thinking
 
Tatizo la love connect ya Watanzania bado haijawa serious...Ukisema unatafuta basi watu wantakuwa wanakusanifu...Bado wanafikra mbovuuu...Tunatakiwa tubadilike tuwe serious ktk mambo tunayoyafanya .....

Wako wengi wanakosa wenza ila kupost inakuwa ngumu.....Bora hiyo ya kutafuta wenza iwe ya kulipia km Elfu kumi then mtu kutoa comment mbovu mbovu itakuwa shida sababu inagharimu...Ambaye yupo serious atalipa sababu anashida ya kutafuta mwenza...

Ni mawazo yangu..

well said,what a great thinker you are!
 
Hivi ni kweli kuwa ndoa zinahitajika kwa hali na mali kias hicho? Naona matangazo yanazidi ....... Kila la kheri bi dada

Mimi natamani kujua kama ni kweli huwa wanatimiza malengo yao humu ama?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom