I need a caring Husband..............

Hahahaha shosti Heaven on earth hiyo ndio siku pekee nlokupodoa ukapendeza kuliko
...umefanya vizur kuieka hapa nipate shemegi lol...
 
Last edited by a moderator:
Nimeshakutupia like if and only if you meant Mungu pale penye bold .
 
Hayo maneno tu, we jiangalie kutwa kucha unavyoshinda kuchagua mzuri
 
Wapi Mkuu nitonye ? Naona kwa sura yake na yako mnarandana sana! You will be a wonderful couple.
 

Mkuu hata usingeomba like, ningeitoa kiroho safi.......Unajua sometimes sio vizuri kumuonea mtu au kumtenga/kumnyanyasa kwa mambo ambayo yako nje ya uwezo wake, au hana maamuzi au utashi wake likiwamo la sura, kabila, ukoo n.k. ni mambo yanatukuta si kwa kuchagua sisi.
 
Mimi nitakuwa tayari baada ya uchaguzi 2015....utanisubiri??

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…