I missed you jaman!!!!!

Mama yako wa kambo. Anaitwa lara1
unaona eeh?

Khaaaaaaaaaa!
Hebu akuje ajitambulishe fasta km anamshiko wa kutupoza twaweza msililiza km ni mchnaji tu kwa mdingi ajiandae kbs coz lolote laweza mtokea other wise anitafute chemba!!!
 
Kwa watu tusio na hela vituko ni sehemu ya kupunguzia machungu
Talking of uchungu, naskia Canta hana uchungu?? Hivi unajua utamu wa nyanya chungu ni uke uchungu??
Heeee....hapa umeniacha!! Ngoja nimwambie mke wangu Cantalisia anidadavulie
 
Last edited by a moderator:
Hiyo dhawadi sikuihidhinisha lakini....nashangaa imemfikiaje TANMO!!
Darling wangu kwan hope utakua umesahau........!

Hebu check in box yako coz zawadi yenyewe nime ku cc then naamini roho yako itatulia tuli!

BTW,Hebu come this way kwa cha mchana its time now lol!
 
Darling wangu kwan hope utakua umesahau........!

Hebu check in box yako coz zawadi yenyewe nime ku cc then naamini roho yako itatulia tuli!

BTW,Hebu come this way kwa cha mchana its time now lol!
Heee, nakuamini ma dia. Najua huwezi nificha chochote.
Ngoja nijeeeeee!!
 
ulikuwa wapi jamani mpaka kamjomba kameota meno bado kupewa jina maana uluahidi utakapa jina lol welcome back
Nimefichwa tu huku ughaibuni. Kazi nyingi kiasi kwamba nakosa hata muda wa kuingia JF. Narudi Tanzania next month kuhesabiwa!! Ngoja nikitafutie kajomba dhawadi!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…