I missed you jaman!!!!!

Girl of my dream huyooo...
Nashukuru umenikuta salama, imara kama chuma, mkavu kama mfupa!

Wow!

I missed you my dia swaiba!

Am happy kukuta mzima na imara km chuma lol!
 
Nashangaa wwengine humu wanakukaribisha kwa bashasha, wakati walikuwa wanakusengenya ulipokuwa haupo... Muogope sana Mamndenyi, snowhite na cacico, walikuwekea kigwena na kukusengenya kama wanavyoonekana hapo........

afu wewe nina kesi nawe!! na nimeshatimiza sala ya 'baba yetu' wasamehe wale waliotukosea!! msamaha wako umepita kitamboooooooooooo, ila uzushi mbaya babu Mtambuzi na tabia ya kuexpose picha za watu hovyo, we haya tu!
 
Last edited by a moderator:
Miss you too baby sister. Yaani bora umekuja, dingi amekuwa kicheche siku hizi anafukuzia hadi upepo. Tutaongea vizuri baadae tupange mkakati.

Asante sn my sister!
Yani nimezipata habari zake nimejikuta naishiwa pozi!
Kuna mtu kaniahidi kunifoadia picha zake na mmoja wapo wa kicheche wake nasubiri tukimweka mtu kati akibisha tu tunaweka mambo hazaran hadi hadi kwa mama lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…