I miss you all

lol... basi mimi simkopeshi dear, sababu tu ni wa nyanya na ipo ndani ya uwezo wangu wacha tu nimpatie ili aweze himili haraka iwezekanavo!

adii nasubiria unipe hivyo!
 
I see Kabakabana inabidi tuongee vizuri .

nataka tuongeze mtaji kwenye Biashara
 
I see Kabakabana inabidi tuongee vizuri .

nataka tuongeze mtaji kwenye Biashara

hapo umenena,wengine wananipa pole kavu kama zinasaidia vile!
Unatumia namba ile ile ama?
 
Rejao[/MENTION] gani ?
ni mume wangu sasa
Hahaha hahah hahah,
My dia Smile karibu tena,
Nilijua utammiss tu na ule utundu wa ile pua lol!
Nafasi yako bado ipo kariiiiiiiiiiiibu sana bi mdogo lol!
Tusubiri hapo seblen maana ndio nampatia Rejao wangu cha mchana lol!
 
Last edited by a moderator:

halooo,abiria chunga mzigo wako
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…