thanx darling,me missed u sana mamie.,matatizo mengi kipenzi
Matatizo ni part ya maisha dear, ni kukomaa nayo tu. Karibu tena...
Nilikumiss sana!
thanx k,missed u lots jamani
Matatizo ni part ya maisha dear, ni kukomaa nayo tu. Karibu tena...
haaa ungenibeep lol
thanks dear kwa kumkaribisha Kaby, ebu mkopeshe mtaji wake uongezeke
Mi mzima best...yupo pia na hajambo kabisajamani ricky i micd u more,amy yuko api?
Mi mzima best...yupo pia na hajambo kabisa
Habari ya kupotea
thanks dear kwa kumkaribisha Kaby, ebu mkopeshe mtaji wake uongezeke
anza wewe kunitumia m-pesa,wengine watafata mfano wako.
Tundika namba yako hapa NIKUINGIZIE.
Pole sana...zote mbaya tu.
Nimefilisika kila kitu kasoro kimawazo tu.
Pole sana...
Jana nilikuwa naongea na SL ila tukashindwa kukupata....
Kiukweli im happy you are back..
Hope hajajua kama umerudi:welcome:
Wadau wa JF Chit-Chat hamjambo!!!
anza wewe kunitumia m-pesa,wengine watafata mfano wako.
Am very delighted to be back.,Mtaji wangu ulikufa na kibanda changu cha nyanya kilikumbwa na mafuriko moshi.
But all in all i missed you guys!