I mISS U...........UKO WAPI?

I mISS U...........UKO WAPI?

Karibuuuu...panapo mualiko wowote wa wanaJF au CC usikose kuhudhuria maana nasi huwa tunakuwepo "at large"

nitajitahidi kuwapo maana mara nyingi nakuwa nje ya Dar kwa shughuli za wakulima...
 
Mtambuzi yupo sehemu moja huko buguruni mnyamani anachezewa sharubu tu! Sijui kama ataitika!
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi alimwacha mama ngina kijijini. akafikia kwenye nyumba ndogo huko chamazi mle akakumbwa na majinamizi akaja na uzi wa kuomba afanyiwe maombi kutoka hapo kaishia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom