Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Huta mwona kwa sasa analala juu ya miti labda uende na tochi usiku mitaa ya msasani, hapana chezea mkopo.
Kaizer wala usijali huyu ni kaka na shemeji yangu hapo hapo, sijamuona muda sana alafu ni mdau wa MMU ndio maana nimeamua kumrusha hewani.
nipo nae LEO TUPO HAPA tunapiga govinder kumar
Hahaha...umekihama chama chetu?
nipo sana nawazingua bana
Hahahah.... katiba ya chama hairuhusu kabisa kutaja siri za chama hadharani....
Chama Chetu...
hahaha nimekupata ndo.kila "chajenga nchi" lol
Hahahah sio hicho mpwa...hiki ni chama cha Chitchatters tu lakini ni kwa wale wakutanao live na kula bataaaa
natamani nijiunge nacho CHAMA CHETU...