Haya Happy women's day...Tupange ratiba zetu luv, Mwanajamii1 kanzingua nikapotea kwa Muda,kama vipi tumzingue atangulie Loliondo sisi tule zetu chaka Zanzibar...nimempiga biti kwamba vipi haniamini,atapoa tu.Ilibidi niwe mkali,ili anipotezee coz ana wasi wasi tayari.Sasa njoo huku Q-bar tupange basi
khaaa! :A S 13::A S 13:
Mbona hujamalizia hiyo queen ya hilo jina???:A S-devil4:nini tena Kloro unachoshangaa?
Mbona hujamalizia hiyo queen ya hilo jina???:A S-devil4:
nilimiss kuquote post yako tu.nini tena Kloro unachoshangaa?
Jus kip distance strategically but mipango yetu iendelee covertly.....I will keep a distance from you ili awe na amani.....twendeni pls,ile dawa yaweza kwisha...inatibu hata magonjwa usiyoyajua....l.o.l:wink2:
kuna kitu anatamani huyu. think! St mtakatifu ! thinkMbona hujamalizia hiyo queen ya hilo jina???:A S-devil4:
nilimiss kuquote post yako tu.
mambo ya short & romantic....niko kimkakati zaidi St RR
kuna kitu anatamani huyu. think! St mtakatifu ! think
Thank you Ben....leo siku yetu.....tunafuraha sana...ratiba unapanga wewe luv....mi nakushauri tuende kwa Babu then tutorokee Zanzibar....
akiona hii msgs wivu utamleta hapa.....unless otherwise amekupotezea.....nikuibe mazima.....:A S 13:
nikupitie au umehairisha? leo ni siku ya wanawake nataka ukafurahie uanamke wako. (naomba hii post isipelekwe jukwaa la kikubwa)aiseee...enjoy chit chat.....
Jus kip distance strategically but mipango yetu iendelee covertly.....
Ila sasa hapo umeniacha hoi,mhh...njoo Q-bar tulijadili kwa kina.lol
Poa basi si uje tutokee huku Q-bar ama?Mimi nimejifanya kukasirika,cmu nazima kwa siku 7 mfululizo.Hata akitia timu hapa haina noma hata yeye si anajua...mcheki hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/113435-nauliza-tu-is-it-possible.html
Zanzibar nshafanya booking.Kama vipi Loliondo tuipotezee tu bwana,kwani maradhi yako yanatisha?
nikupitie au umehairisha? leo ni siku ya wanawake nataka ukafurahie uanamke wako. (naomba hii post isipelekwe jukwaa la kikubwa)
Mhh.....Sasa naona kuna ajenda za siri,wacha nirudi kwa Mwanajamii1 wangu coz,Michelle nae,naona mipango ya kando si haba
yaani unamuita ben shalobalo? khaaa! aisee wewe mdada mjasiri kwelisina access ya kule....sijahairisha.....niko nafanya uamuzi kutoka na shalobaro kwenda beach au kwenda Q-bar na mpenzi wa mtu??
yaani unamuita ben shalobalo? khaaa! aisee wewe mdada mjasiri kweli
lizzy mwenzio alileta kauli kama hizi halaf baadae kakaja kuomba razi eti kanataka at least kupiga picha na mimi kajiskie faifu star na yeye. nawewe ni matter of time tu. I am ze best in town bana!Kloro...sote tunatambua wewe ndo shalobaro wa JF.......BEN ni mpenzi wa mwanajamii one.....usiniletee kesi Kloro....wivu utakuua,utaoga na mjini siendi na wewe.....:mullet:
lizzy mwenzio alileta kauli kama hizi halaf baadae kakaja kuomba razi eti kanataka at least kupiga picha na mimi kajiskie faifu star na yeye. nawewe ni matter of time tu. I am ze best in town bana!
idumu JF chit chat