I miss those days bibi harusi anatembea kwa miguu toka nyumbani kwao to Church na from church to husband's home.
I miss those days bibi harusi anakula keki na kushushia na chai ya moto.
Hahahahaaa The Boss you know where we have our lunch lunch and you know where to find me looh.
Umenichekesha na kunifurahisha sana. Let me say this... Hii ni experience ya kwetu......
Mshua wangu alienda nje ya Tanzania miaka hiyo kikazi na aliporudi Tz moja ya vitu alivyorudinavyo ni TV ambayo kwa miaka hiyo ilikuwa ni asset kubwa. Kuangalia TV ilikuwa ni ijumaa jioni jumamosi kuanzia mchana na jumapili kuanzia mchana hadi jioni kisha inarudishwa chumbani kwa baba na mama na inalala huko. Operators wa TV na deck walikuwa kaka zangu very sharp. Sasa itokee mmeiba kuangalia TV katikati ya wiki halafu itokee umeme ukatike na mkanda umekwamia kwenye deck, na mkanda wenyewe wa kuazima......nakwambia kila mtu anaanza kusali ili umeme urudi kabla hamjabambwa maana mtapitishiwa kipondo woote. Hahahaaa
enzi za kusoma madeni China badala ya made in China
ubaguzi wa rangi wa Afrika kusini ulinipa shida kuelewa maana yake mimi nilijua wanabagua rangi za ukutani nikawa najiuliza hizo rangi za ukutani wanabaguaje na kwanini wanazibagua.
Dah, umenikumbusha tv yenye fomaica. Kuna siku mkanda ulizimikia kwenye deki my brother (RIP, ooh how i miss you. Sijui tungefanya mautundu gani na uzee huu sasa!) akaifungua akahangaika kuchomoa hadi akakata tape. Ukapigwa tape ikaeudishwa library kiroho swaaafi. Komesha dingi alikuwa anagusa tv kama imepata moto anajua wahuni mlishaharibu.
Most of all i miss my family. I dont wanna grow up <sob sob>
enzi za kusoma madeni China badala ya made in China
ubaguzi wa rangi wa Afrika kusini ulinipa shida kuelewa maana yake mimi nilijua wanabagua rangi za ukutani nikawa najiuliza hizo rangi za ukutani wanabaguaje na kwanini wanazibagua.
Dah nimekumbuka mashati ya yekeyeke....
Baba yenu alikuwa tajiri sana...Sh.20 ilikuwa ada ya primary school kwa mwaka mzima!
Zamani Watanzania kila nchi tulijua imetupita kimaendeleo
watu walikuwa wanazamia hata Mozambique ...
I miss wali wa zamani ulikuwa na kaharufu kazuri sana , lazima tuoge mapema sana siku hiyo .
I miss those days marehemu baba akija usiku katupia vitu vyake anaweka cassete ya kanda bongoman anatushindanisha kukata mauno watoto wote mshindi anapewa sh.20 mara nyingi nilishinda
Bila kusahau mashati ya Bahama na mengine sijui Juliana...yalikua na picha ya mweweNa suruali mchelemchele
Makabati yenye fomaica enzi hizo mnatisha kitaa hahaa
vyombo vya glass hadi wageni waje....ole wako uvunje chupa ya chai....au glass dah....
Hahaaaaa tena raha ya ko ko ko uivae kanisani...halafu uwe umechelewa misa....
Kwakusaidia tu kipindi wimbo huo unavuma kuna mashati yalikuja nayo yakapewa jina hilo sijui kama unafahamu hilo!Yaani yalikuwa maarufu hadi watu wakafanya kama sare kwenye mpira!yeke yeke hayakuwa mashati mkuu,, ilikuwa ni aina ya muziki nadhani
(sikukuu inanukiaaa aaa, eeee kuwa yekeyeke!! hahahaaaaaaa
Uchina walikuwa juu sana katika vyombo vya udongo toka dahari,wanasifika kwa hilo....ila kwasasa wamezinduka kuchakachua kumezidi!Mkuu umenichekesha madeni china naikumbuka Sana hii
Mkuu umenichekesha madeni china naikumbuka Sana hii
Hahaha simwambii ataniibiasirius nikikutongoza utakaushia hutamwambia hata rafiki yako?
those golden days zimebaki simulizitena basi ufaulu.....tena ufaulu shule ya bweni nje ya mkoa...daaah! yani ukitembea mtaani unajiona kama unaelea angani. tulipata heshima haswa...leo masikini,wanaofaulu hawajui hata kusoma