I miss my old self . . .

hahahahaa umemsoma vizuri mwaJ apo juu Mwita Maranya?

Mkuu Kaizer najua unafanya reference kwenye huu mstari hapa chini.

Huo utaratibu wa kuwa na mume na msiri umewekwa kikatiba hivyo haubadilishiki.

Lakini kitu kimoja ninachofahamu ni kwamba si kila sheria ni nzuri, na hata kama ni nzuri leo si lazima iwe nzuri na kesho. Na kwahiyo basi ninakusudia ku-move motion ya kuifanyia marekebisho makubwa hiyo katiba ili iendane na mazingira halisi ya sasa ya kutoruhusu mke wangu mwaJ kuwa na msiri.
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiii "Organisation Structure" ya familia yetu si ilishapitishwa na kamati maalumu jamani? Sasa unaalika watu waje kuivunja kwa nini?

Kadri ninavyokumbuka "organisation structure" ya familia yetu inanipa mamlaka ya kureview katiba kila mara na kuifanyia marekebisho kadri inavyofaa.
 
Kadri ninavyokumbuka "organisation structure" ya familia yetu inanipa mamlaka ya kureview katiba kila mara na kuifanyia marekebisho kadri inavyofaa.

Naona unahamu ya kusababisha mgomo na maandamano ndani ya familia. Kaizer is there to stay.
 
Last edited by a moderator:

hahahaha mkuu Mwita Maranya nilijua pindi ukiona neno katiba basi utaaanza mjadala wa kisiasa, lakini huku MMU neno katiba lina maana pana sana na ndio alivotumia msiri wangu mwaJ apo...usiwe na wasi wasi mambo ni mazuri tu...
 
Last edited by a moderator:
Naona unahamu ya kusababisha mgomo na maandamano ndani ya familia. Kaizer is there to stay.

Mi pia siongezi neno mwaJ....nadhani mkuu Mwita Maranya ni muelewa na hatopenda kukupoteza mapema hivi....u mke mwema kwake na mi ni msiri wako baaas.
 
Last edited by a moderator:
Kadri ninavyokumbuka "organisation structure" ya familia yetu inanipa mamlaka ya kureview katiba kila mara na kuifanyia marekebisho kadri inavyofaa.

Hivi Kenya huko mambo yanaendaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…