nostalgia!! i miss my old self when i had so much drive and ambition compared to nowLeo kwa muda; nilijikuta nimmiss Konnie wa miaka kadhaa. Ilikuwa hivi . . .
Katika pilika pilika za leo, nikakutana na mtu tulipotezana more than 17 tulipomaliza High School.
Na tulikuwa tunakaa meza moja miaka hiyo, na tulikuwa marafiki, tatizo enzi hizo S.L.P ilihusu sana, tukapotezana.
Baada ya kupiga story 2 tatu nikagundua 'how much i have changed' toka tulipoachana. Miaka hiyo nilikuwa 'pure innocent girl from a village'. Nikaona anajaribu kuwaunganisha mie wa miaka hiyo na wa sasa ambaye ni 'crazy' kwa namna fulani. Ambaye ukimuonesha zambarau lazima ahoji, why?
Nikimtazama yeye angalau ame-maintain 'innocence' yake, for a minute i missed my old self.
Kukawa na vitu nataka 'ku-explain' sababu nilihisi anastahili maelezo, akanijibu tu 'i understand, it's part of life'.
Dah, nimegundua kumbe mtu unaweza kubadilika kidogo kidogo bila kujua, leo ndio nimejitafakari nimebadilika kiasi gani.
Anyway, it's life.
ooh yeah! Ha ha ha, zombie mzima aisee
anajilia matunda ya jasho lake tu.
Kweli leo nimeji-miss kwa muda, nikasikitika.
Leo kwa muda; nilijikuta nimmiss Konnie wa miaka kadhaa. Ilikuwa hivi . . .

Asnam bana, sasa unampa Konnie pole kwani ukubwa ni ugonjwa? Haiwezekani wote tukawa 20-25 years old, lazima wengine tuwe dada zenu au kaka zenu.dah hapo kwenye gold umenishtua ujue,hw old are you?ulivyoleta mambo ya zombie nikajua ndo umebalehe juzi kumbe ni kijeba loh pole sana.
kuoa ni wajibu (ndio ninachoambiwa home)sasa hivi huna ambition?
Hata kuoa ni ambition ujue!?
ha ha. alikuwa anabadilika kama upepo asubuhi ni me jioni ni ke lolMe too hasa alipokuwa anachange jinsia every hour.
Leo kwa muda; nilijikuta nimmiss Konnie wa miaka kadhaa. Ilikuwa hivi . . .
Katika pilika pilika za leo, nikakutana na mtu tulipotezana more than 17 tulipomaliza High School.
Na tulikuwa tunakaa meza moja miaka hiyo, na tulikuwa marafiki, tatizo enzi hizo S.L.P ilihusu sana, tukapotezana.
Baada ya kupiga story 2 tatu nikagundua 'how much i have changed' toka tulipoachana. Miaka hiyo nilikuwa 'pure innocent girl from a village'. Nikaona anajaribu kuwaunganisha mie wa miaka hiyo na wa sasa ambaye ni 'crazy' kwa namna fulani. Ambaye ukimuonesha zambarau lazima ahoji, why?
Nikimtazama yeye angalau ame-maintain 'innocence' yake, for a minute i missed my old self.
Kukawa na vitu nataka 'ku-explain' sababu nilihisi anastahili maelezo, akanijibu tu 'i understand, it's part of life'.
Dah, nimegundua kumbe mtu unaweza kubadilika kidogo kidogo bila kujua, leo ndio nimejitafakari nimebadilika kiasi gani.
Anyway, it's life.
ooh yeah! Ha ha ha, zombie mzima aisee
anajilia matunda ya jasho lake tu.
Kweli leo nimeji-miss kwa muda, nikasikitika.
Kongosho, unachosema ni sawa kabisa......yaani mi mwenyewe, wakati flani ninajisikia raha sana hasa nikikutana na marafikiwa old school enzi hizo tunasome hata hatumjui ndalichako na Tv appearance zake, miaka 20 imepita sasa.....
when u flash back,,.,,kuna "mazuri" mengi sana ya kutafakari..ikiwemo ugumu wa kugegeda kutokana na mawasiliano hafifu...daamn
Asnam, unampa pole Kongosho kwa sababu gani? si umesikia alikuwa anabadilika jinsia kwa siku mara saba, sasa usiamini sana hiyo miaka aliyoweka hapo, chukua tu ujumbe, sawa mdogo wangu?
Ha ha ha ha, I hate you, hapo blue.
Ila kwa kweli niliji-miss sana
Unajua kuna wale watu wanakufahamu tangu unavaa ndala za bata, na walikupenda vile vile
tofauti na hawa unaokutana nao kwenye 'kazi' wanakupenda kwa maslah zaidi
Nilichosikitika ni pale nilipomuona anahangaika kujifariji kuwa gone girl hajawa that bad, still good.
ulikuwa 'sister' kama dada au wale watawa wakatoliki?I was sister Konnie Maria, not this gangstress/gangstar
hahaha Kongosho bana..I love that you hate that part, ujue sisi ndo ma legend hawa wa siku hizi kizazi cha kawambwa hawawezi kumjua KONNIE bana.....
So unaona at least u have some traces of the old Kongosho.
On the other hand, transformations in life are inevitable....whether positive or negative,,,,that becomes very relative and subject to individual opinions