I miss my ex man so much jamani

kwa staili hii ya wanawake lazima wanamme wamtafute MOLA kabla na baada ya kuoa..
 
Huu mwandiko wa hii sredi sio wa kike...

Naona mcharazo wa lijamaa limeamua kutuzingua...
 
Waacheni wajitafutie faraja za kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu kuna watu wamechanganyikiwa jamani. Juzi tu huyu ' dada' Nrs Sam kadai amepata mume humu na ametukaribisha kwenye mahari yake Tuangoma Kigamboni, leo anakuja andai anan-miss ex wake. Au mchumba kaghairi kama alivyoghairi ex waje?

Vv
 
I MISS OUR DAYS!
basi tu!
Which days are you talking about [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] acheni kujifanya wakongwe wa jf wote nyie wadogo zangu humu dadeq au mnataka niweke wazi id ya zamani??? Sema I don't wana get banned
 
Mbotwasana huyo kafa kaoza kwangu hata akiona najua jinsi ya kumtuliza istoshe I doubt kama ataona si mtumiaji mzuri wa jf

Sent from Samsung A8 using Jamii Forums mobile app

Yaani wewe akili yako....
 
Ni njaa tu sio kingine, hakuna hela umalaya uliojificha sasa inakuwa wazi...
We ndo malaya unaewaza kuwa mapenzi lazima yahusiane na hela mfyuuu wenzako hatuko hivyo sijawahi hata kuhongwa na mwananaume toka nizaliwe na hata awe na hela vipi siwezi kumuomba nikimuomba ujue namkopa mwisho wa mwezi namrudishia.

Watch your words plssss [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…