I miss my ex man so much jamani

Aisee mm niko tofauti sirudii matapishiii kamwe.

Dada humuheshimu bf wako wa sasa

kwa nn ulitudanganya yupo humu?

Kwa maelezo haya upo salama??
Be carefull ukipendwa pendeka
 
Kazi kweli kweli...halafu unataka uolewe huku bado unakumbuka X wako mliekuwa mnazini naye,ningekushauri usiolewe kwani utakwenda kwenye altare kufunga ndoa huku kichwani mwako ulie naye ni kama mzimu,ni kwa kuwa tu unataka kuolewa huna jinsi inabidi ufunge ndoa.
 
aiseee mbotswana hapewi punye hadi mahari kwanza, ila jamaa anaombwa akaichakaze bureeee

haya mambo nilisha shindwa mwezi ujatoa punye, kafie mbele....yaani kwangu usitoe mpaka harusi alafu kuna jamaaa anaombwa akaipige duuuh
Ndo nilichoShangaa na mimi mkuu, Hawa wanawake hawa. Dawa yao ni kuwapiga mashine hadi akili ziwakae sawa, alafu hamna kumBembeleza.Haiwezekani mwingine hadi Ndoa, mwingine anatafutwa buure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ka pepo flani ka kutojielewa kana kunyemelea.

Umejoin leo leo.

Tayari una mume umempata JF.

Na tayari una una EX unaemmisi.

Ptuuuh.

hujamuelewa....imembidi abadili ID kwa usalama wake...lakini yumo humu miaka mia
 
When a woman loves she loves for real nilimpenda x na bado nampenda hakunitoa bikira yeye lakini mapenzi yake kamwe sitayasahau he was such a gentleman na hatukuachana kwa sababu ya ugomvi but ni circumstances ambazo they can't be avoided
Sasa si umpe nayeye huyo mBotswana Papuchi, Huwezi jua akakufikisha hata mlima Everest[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]

Poor to him

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forget about the past,you are heading to the new life.
 
Kileleni is addictive. Ukifikishwa mara moja, utataka kufika kila siku
 
Yan page 26 x bado tu hujajitokeza hata kunipa hi [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Mungu anakuona ila nakupenda hivyohivyo sijuti kukufahamu hata siku moja [emoji8][emoji8]
 
Inamaana ukikutana naX wako anakula,ukiutana tena na mwanaume wako wa kwanza unampa.


Wanawake kama nyie ndio mnaowaharibia wanawake wanaoolewa bila bikra,mtu anakua alisha taste nyingi hivyo kutulia hawezi anakua ni mtu wakukushuahia heshima tu mtaani kwakugawagawa hovyo na unakuta unaolewa basi tu ila sio kwakupenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aiseee mbotswana hapewi punye hadi mahari kwanza, ila jamaa anaombwa akaichakaze bureeee

haya mambo nilisha shindwa mwezi ujatoa punye, kafie mbele....yaani kwangu usitoe mpaka harusi alafu kuna jamaaa anaombwa akaipige duuuh
Ndio ujinga ambao huwa sipendi kuusikia,mtu ni used halafu hataki kutoa mbunye,tambua kabisa kuna wanaobembelezwa wamgonge.

Once a cheater always a cheater.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbotwasana huyo kafa kaoza kwangu hata akiona najua jinsi ya kumtuliza istoshe I doubt kama ataona si mtumiaji mzuri wa jf

Sent from Samsung A8 using Jamii Forums mobile app
Ndipo hapo huwa mnajidanganya kua mnatujua sana wanaume,matokeo yake unakuja unafumaniwa na anakuua.

Usijipe guarantee kua unatujua sana wanaume,hatutabirikagi,unaweza ukasema utanidhibiti nikakushinda na ukapata madhara ambayo hukutegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…