I miss chit chat

I miss chit chat

Guys what happening now days? ...humu jamvini hadi naanza kusahaulika ati.

Mkuu karibu tena mjengo huu wa kufurahi pamoja ila vipi kule mjengo wa baba na mama hawajambo? Na mjengo wa waheshimiwa wabunge, mawaziri, spika, waziri mkuu, makam wa rais pamoja na rais hawajambo?
 
Mkuu karibu tena mjengo huu wa kufurahi pamoja ila vipi kule mjengo wa baba na mama hawajambo? Na mjengo wa waheshimiwa wabunge, mawaziri, spika, waziri mkuu, makam wa rais pamoja na rais hawajambo?

Ndugu yangu kule hakufai .. Tinatokwa sana na mapovu kule ila hakuna kinachobadilika bora huku
 
khe karibu kila kitu kimebadilka ivi uliacha kuna mwenyeketi?af akapewa ban kafunguliwa juzi tu uliza utaambia.af mimi miss wewe sana.
 
Afu wewe hivi unajua tuna unfinished business? Nakuvutia pumzi, siku hizi nashinda gym. Siku ya kukutokea, sijui! Endelea kuenjoy free air (hata ukiripoti abyuzi, nna rb ya kutoka kwa maxence.
Mi nipo tu mbona? ulinitafuta wapi ukanikosa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom