Dear JF Members!😛eace:
Leo natimiza miaka 40 hapa duniani,kinachonishangaza sijisikii kama umri umesogea,kuna sababu nyingi zinanifanya nijisikie kama ndio kwanza natimiza miaka 19!usicheke!!!!najisikia ndio kwanza naanza maisha rasmi
Mazoezi ya viungo yamenifikisha hapa nilipo,siendi kabisa hosptali,situmii dawa ya aina yoyote wala sina matatizo yoyote ya kiafya wala sina kitambi!!!
nakunywa pombe lakini mara moja au mbili kwa wiki,nakunywa chupa mbili mpaka tatu katika hizo mara mbili kwa wiki,nakunywa maji zaidi ya lita mbili kila siku!!
kuwa mwangalifu kama unapenda kuishi maisha mazuri,health na marefu!
nimekuwa nikipenda zaidi mchezo wa 6x6 kila kukicha,zamani nilifikiri nikifika umri huu uwezo utakuwa umepungua lakini ndio kwanza uwezo umezidi ule wa miaka 20,bila kuonja hakuna kulala,,,,,,,
jitahidi kuishi health life,kuna faida nyingi!
kila la heri wandugu!
oh hongera sana mkuu mungu akupe maisha marefu ,sisi kwetu babu zangu pande zote mbili wanaishi miaka mirefu sana pmaka hapa hakuna aliyekufa chini ya 100yrs sitanii namaanisha najtahidi sna kula vitu natural,siri yakuishi kwao kwingi si tu kwamba wametunukiwa na mungu bali wanafanya kazi kwa bidii sana,nakula vyakula natural .najitahidi saan kufuata nyendo zao na life style yako pia.kila siku huwa nafanya walking 1km japo naishi mjini dsm,nalima nafanya kazi nyingi sana zenye kuchangamsha mwili wangu,huwa niko fit hata ukaulizwa nina 3kids utabisha am still very very young and vigorous kwiwkwiwkwiwkwiwkwi wanawake acheni kubweteka hovyo n machakula ya mjini haya fanyeni mazoezi.mmimi hata malaria ni ngumu kukuta naugua niko fit