Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,996
Dear JF Members!😛eace:
Leo natimiza miaka 40 hapa duniani,kinachonishangaza sijisikii kama umri umesogea,kuna sababu nyingi zinanifanya nijisikie kama ndio kwanza natimiza miaka 19!usicheke!!!!najisikia ndio kwanza naanza maisha rasmi
Mazoezi ya viungo yamenifikisha hapa nilipo,siendi kabisa hosptali,situmii dawa ya aina yoyote wala sina matatizo yoyote ya kiafya wala sina kitambi!!!
nakunywa pombe lakini mara moja au mbili kwa wiki,nakunywa chupa mbili mpaka tatu katika hizo mara mbili kwa wiki,nakunywa maji zaidi ya lita mbili kila siku!!
kuwa mwangalifu kama unapenda kuishi maisha mazuri,health na marefu!
nimekuwa nikipenda zaidi mchezo wa 6x6 kila kukicha,zamani nilifikiri nikifika umri huu uwezo utakuwa umepungua lakini ndio kwanza uwezo umezidi ule wa miaka 20,bila kuonja hakuna kulala,,,,,,,
jitahidi kuishi health life,kuna faida nyingi!
kila la heri wandugu!
Congratulations and celebrations!,Dear JF Members!😛eace:

Mhhh, mi sijaoan kwenye jamii inayonizunguka. Nadhani kuheshimika haitegemei umri bali tabia yako na mashirikiano(?) yako na jamii inayokuzunguka.