gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Ha ha ha ha, mie huwa nazimika pamoja tu
Na nikizimika, kunizindua hadi uje na sam trela
Huyu namlisha vina tu
teh teh teh teh!, kumbe wewe ni wale wenye mapenzi niueni?
Ha ha ha ha, mie huwa nazimika pamoja tu
Na nikizimika, kunizindua hadi uje na sam trela
Huyu namlisha vina tu
teh teh teh teh!, kumbe wewe ni wale wenye mapenzi niueni?
Kama unakumbuka mambo ya washiriki kwenye riwaya za fomu foo
Mie huwa mshiriki bapa, kazi sana kunibadilisha.
aya sasa umeanza kama kawaida kuleta ya nyuma mbele ya mbele nyuma mashairi ya nini sasa kwenye kuoanisha maneno haya? ama ndo wamzimikia mdogo wangu bro wa ukweli platozoom? nakuona easting na deflection unazipimia kwa mbali kweli sikuwez.
Mbona unaharibu hata kabla sijavuka sekenke? wifi lawama wewe khaa!
"Nakupenda sana" my sweet sister
I think inategemea anae kwambia anazowea lugha gani,
na pia wewe na mpenzi wako mnaongea lugha gani kawaida.
Haya maneno nikiambiwa kwa kingereza, naona kama ni yakuigiza
raha yake upate kwa kiswahili, it looks more genuine bwana.
Kongosho, mambo?
kundi lako naliogopa lol! but najua haiapply kwa early relps. manake mbona utapata bp na masheli?
I think inategemea anae kwambia anazowea lugha gani,
na pia wewe na mpenzi wako mnaongea lugha gani kawaida.
Haya maneno nikiambiwa kwa kingereza, naona kama ni yakuigiza
raha yake upate kwa kiswahili, it looks more genuine bwana.
Kongosho, mambo?
Kongosho kuna maneno kama msiri wangu, mke wangu mpenzi, laaziz, mwandani wangu yaani mtu akiyatamka lazima nafsi ife ganzi aisee. kisahili bana huwa hakikati ukali wa maneno. pata picha sasa mtu anakwambia maneno haya akiwa ameyamaanisha hadi kwa body lg.Mie mzima, mie napenda sana kiswahili
Nakumbuka kuna mmoja aliniambia
'nakupenda sana, kila nikikuwaza namaliza kichane cha ndizi'
Basi mie roho kwatuuuuu
Hivi ushawahi itwa laaziz wewe
Mie mzima, mie napenda sana kiswahili
Nakumbuka kuna mmoja aliniambia
'nakupenda sana, kila nikikuwaza namaliza kichane cha ndizi'
Basi mie roho kwatuuuuu
Hivi ushawahi itwa laaziz wewe
Ha ha ha ha, yaani we acha tu
Nimeshakomaa siku hizi
Kongosho kuna maneno kama msiri wangu, mke wangu mpenzi, laaziz, mwandani wangu yaani mtu akiyatamka lazima nafsi ife ganzi aisee. kisahili bana huwa hakikati ukali wa maneno. pata picha sasa mtu anakwambia maneno haya akiwa ameyamaanisha hadi kwa body lg.
HASWAA........na mwanamke akiniongezea "dume langu" amenimaliza kabisa!............Halafu hivi waswahili tuna "body language?"
Mi ni kiswazi kwenda mbele. Mi english ya nini, english yenyewe broken hii?Mie mzima, mie napenda sana kiswahili
Nakumbuka kuna mmoja aliniambia
'nakupenda sana, kila nikikuwaza namaliza kichane cha ndizi'
Basi mie roho kwatuuuuu
Hivi ushawahi itwa laaziz wewe
i