I love him

I love him

Habari zenu Guys.... mc u so much...... natumain wote mko poa.... jamani mwenzenu nimempenda Mkaka.... mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi.... natamani ajue lakini tunaheshimiana sana.....i don knw wat to do.... i am in love

without communication, there is no relationship, without love without respect, there is no love, without trust there is no reason to continue...
if you like him tell him coz he won't wait forever..
 
kama umempenda kwa dhati muombe mungu awe mume wako..... lakini kama tu unamtaman kwa ajili ya sex USHINDWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
hivi heshima inaua mapenzi? maana nimekuwa nasikia sana hizi kauli "namheshimu/nakuheshimu........siwezi kuwa na wewe/siwezi kumwambia/iweje uniambie hayo??

Kupoteza heshima kwa wabongo ni kukaa uchi.... ndiyo maana wanatoa kauli za kiaashi
 
dem mmoja alikua ananiletea swagger za kuinama mbele yanu,kunionesha mapaja,na kifua..,
nikampa finger sku moja...ilibak kidogo apoteze faham

he he he mkuu...baada ya hapo ilikuwaje?
 
Yani sijui ndio kuwa old school, I have never grasped this concept ya kumpenda mtu just ambaye sijashare naye anything, I mean dates, talking, getting to know them better, how do I feel nikiwa naye, compatibility issues etc. Sometimes nadhani the correct word to say ni 'unamtamani' Love is a big word jamani just to tell to a stranger!!!
 
Price kuna kipindi ulituambia wewe ni bikira na sasa I doubt kama habari ile ni ya ukweli maana sio sifa za bikira kusema mvulana anaye mpenda na kuwa tayari kupoteza bikira yake

Sifa zako leo zimeangukia kwa akina dada wazoefu wa ngono wasio ogopa ku express feelings zao

Bikira ya wapi??? Labda ya 0713!!!
 
Last edited by a moderator:
Sa ndo hadi unashindwa kufanya hadi kazi, ukifukuzwa je? Anyway jitahisi umuoneshe lugha ya picha hadi akuelewe, sasa sijui akikutolea nje itakuwaje mmmh

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

atahama ofisi...
 
kumbuka tunaongelea kuunganisha vikojoleo
sasa wanafail vipi kuwa responsible

Ngoja nikupe siri moja wanawake wengi wanaamini kumnyima mume kojoleo ndiyo kumfanya akupende au akutafute zaidi lakin hii theory ilikuwa applicable zamani tena maeneo ya vijijini ... saaa kwa sasa ukimbania mume kojoleo zipo barabarani hadi za mia tano so ... so mwisho wa siku ndiyo ugomvi na kuachana kinakuja
 
Ngoja nikupe siri moja wanawake wengi wanaamini kumnyima mume kojoleo ndiyo kumfanya akupende au akutafute zaidi lakin hii theory ilikuwa applicable zamani tena maeneo ya vijijini ... saaa kwa sasa ukimbania mume kojoleo zipo barabarani hadi za mia tano so ... so mwisho wa siku ndiyo ugomvi na kuachana kinakuja
aiseee! kwahiyo akiomba (mpenzi tu sio mume) tu unatoa
 
Angalizo... Ukipatikana kiurahisi sana utaachwa kwa urahisi hivyi hivyo. Maana sisi wanaume kama freelancers hivi, hatukatai kazi hata kama moyoni tunajua you are not the one. Sasa wewe utainvest your emotions kumbe mwenzio ni genye tu anataka kuzitoa. Ni angalizo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom