I love him

I love him

Jifanye unaumwa nenda hospital chonga na doctor akupe ruhusa ya mapumziko siku3, then sahau ATM card yako kwa ofsi mtwangie adraw kama 100k hivi 20k mwambie atumie kwajl ya wese kama anakajimotokaa. Home jiandae na msosi mtamu anao upendelea au hata bonge la supu ili akija kuleta pesa lia kadri uwezavyo ili akugegede!!
Ushindwe wewe sasa!!
 
Price kuna kipindi ulituambia wewe ni bikira na sasa I doubt kama habari ile ni ya ukweli maana sio sifa za bikira kusema mvulana anaye mpenda na kuwa tayari kupoteza bikira yake

Sifa zako leo zimeangukia kwa akina dada wazoefu wa ngono wasio ogopa ku express feelings zao
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu Guys.... mc u so much...... natumain wote mko poa.... jamani mwenzenu nimempenda Mkaka.... mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi.... natamani ajue lakini tunaheshimiana sana.....i don knw wat to do.... i am in love
Sifikiri ni sahihi kwa mwanamke kumwanza mwanaume ila unauwezo wa kutengeneza mazingira, don't make yourself too cheap or too hard to get, kama anakukaribisha lunch kwenda naye si mbaya kama ni birthday yake kumtumia message ni nzuri pia, au wewe kumualika mahali ukiwa na marafiki zako ni vizuri pia, ila sio mara ya kwanza then unamualika uko mwenyewe tu au aje mwenyewe tu. Usijirahishe sana ila na usiwe mgumu sana, tengeneza mazingira akujue social life yako na kuwa you are available (if you are). Ni normal kwa mwanamke kumpenda mwanaume kabla ya mwanaume kushituka ila ni vyema kumwachia jukumu mwanaume kukutamkia.
 
dem mmoja alikua ananiletea swagger za kuinama mbele yanu,kunionesha mapaja,na kifua..,
nikampa finger sku moja...ilibak kidogo apoteze faham

Hahaha..hili jukwaa haliishiwi fiksi,ulimpiga dole,ndole au mkidolee? Na je unatoaga shot mwilin?
 
hivi na nyie huwa mnapenda kweli!??? au umesikia mkaka wa watu anakaribia kupandishwa cheo....

yani wew sijui unawaza wapi kwani imeandikwa wap ati nyie ndio wenye mapenzi na sisi tuu.... hata kama anakaribia kupandishwa cheo ni heri yake nani anataka mwanaume mzigo
 
Ni vzuri kwamba mpo ofisi moja,sasa ikifika jumatatu subiri mpaka muda wa lunch ukifika,wewe jiangushe chini act unakifafa kikuu,hapo lazima aje akusaidie,ndipo na ww unamsaidia zaidi,hapo hachomoki!
Hahahahaaa we main character umenichekesha wewe dah!Acha kumdanganya price wa watu.
 
thanx Heart... nashindwa kukuquote coz net inasumbua.... lakini kujenga urafiki pia inaniwia vigumu lakn nitajitahid kuwa karibu nae

Hiyo ndio njia nzuri,kujifunua funua na kuacha matiti nje ni kujidhalilisha na atakuona sio...
 
Last edited by a moderator:
Ni vzuri kwamba mpo ofisi moja,sasa ikifika jumatatu subiri mpaka muda wa lunch ukifika,wewe jiangushe chini act unakifafa kikuu,hapo lazima aje akusaidie,ndipo na ww unamsaidia zaidi,hapo hachomoki!

Wanaume walivyo waoga yaani hapo pengine ndo ikawa mwisho hata wa urafiki wenyewe...
 
yani wew sijui unawaza wapi kwani imeandikwa wap ati nyie ndio wenye mapenzi na sisi tuu.... hata kama anakaribia kupandishwa cheo ni heri yake nani anataka mwanaume mzigo
Dem nayempenda ni Manka wa kichaga...nikirudi anaulizaga umeingiza shilingi ngapiiiiii....
 
Last edited by a moderator:
Sifikiri ni sahihi kwa mwanamke kumwanza mwanaume ila unauwezo wa kutengeneza mazingira, don't make yourself too cheap or too hard to get, kama anakukaribisha lunch kwenda naye si mbaya kama ni birthday yake kumtumia message ni nzuri pia, au wewe kumualika mahali ukiwa na marafiki zako ni vizuri pia, ila sio mara ya kwanza then unamualika uko mwenyewe tu au aje mwenyewe tu. Usijirahishe sana ila na usiwe mgumu sana, tengeneza mazingira akujue social life yako na kuwa you are available (if you are). Ni normal kwa mwanamke kumpenda mwanaume kabla ya mwanaume kushituka ila ni vyema kumwachia jukumu mwanaume kukutamkia.

Mmh...mi nadhan hiyo ni ideology ya zamani kwakweli,kwanini mwanamke asiwe na freedom of expression. Kwa mwanaume muelewa hatomuhisi kwamba ni cheap.. Ajenge mazoea nae taratibu,kuhakikisha yupo comfortable then amtamkie kwa kumueleza nia.. Kama ita-turn out different then basi,haikuwa riziki yake.
 
Sa ndo hadi unashindwa kufanya hadi kazi, ukifukuzwa je? Anyway jitahisi umuoneshe lugha ya picha hadi akuelewe, sasa sijui akikutolea nje itakuwaje mmmh

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Amtolee nje alf ofc 1 hahaaa kaz utaiona chungu..
 
dem mmoja alikua ananiletea swagger za kuinama mbele yanu,kunionesha mapaja,na kifua..,
nikampa finger sku moja...ilibak kidogo apoteze faham

Hii..hii..hii..! Hiyo kali duh!
 
hivi heshima inaua mapenzi? maana nimekuwa nasikia sana hizi kauli "namheshimu/nakuheshimu........siwezi kuwa na wewe/siwezi kumwambia/iweje uniambie hayo??

Kweli hapo hata mie huwa sielewi, kwani kumtokea mtu ni mpaka ambaye hamheshimiani?
 
Play this card,mmezoeana na mnaheshimiana,ryt?Hebu ghafla weka umbali nae,jitahid kumkwepa sana na maongezi yawe machache tena ya muhimu yanayohusiana na kazi.
Fanya hvyo wiki nzima,lazima atanotice kitu na atakufata kukuuliza kama kuna tatizo!muignore na endelea na kazi,atarudi tena na hapo kama muungwana atagundua una tatizo na atataka kusaidia japo kwa mawazo,kwakuwa kazini si mahala pa mambo hayo atakuomba baada ya kazi muonane mzungumze!hapo sasa,lazima atakubembeleza ajue nini tatizo,hahahaa uwanja unakuwa wako sasa,mpe that look ambalo ni adimu,mlegezee jicho kwa kama dk kadhaa c unajua!ataingia 2 kwny mkenge
 
🙂🙂🙂🙂🙂
 
Habari zenu Guys.... mc u so much...... natumain wote mko poa.... jamani mwenzenu nimempenda Mkaka.... mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi.... natamani ajue lakini tunaheshimiana sana.....i don knw wat to do.... i am in love

Kuna msemo mmoja wa kishenzi unasema hivi... '' If you f.uck me, (boss anasema hapo) I f.uck your salary!

miss you Price... the better way to remove your stresses is to ' speak out loud...'
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom