nini tena honey? na kibaridi hiki cha mza! hmhmhmmm!!
Weee shemeji yako unamwambia kibaridi afanye nini?
you want casual or some attachment..
Casual lol Attachment on my foot
there you go...finally una prove unaweza
Idea ya mchango nzuri ila mie mtupu kabisa hata nashindwa kudanganya. Na kwa kuwa hata kinywaji sina, pledge yangu itakuwa less than or equal to zero. Ila kuna vijana wa mjini hapa. Naomba waendeleeoops mie sina mwaya , i was kidding tu ndo maana nikacheka
Nataka nipitishe mchango JF mnichangie maana maharusi mnachanga wewe nichangieni bathi na mie
Anachohitaji hapa ni kugegedwa na huyo jobmate wake. Hii ni njia rahisi yakukamilisha tamaa zake za mwili. lakini kama anataka kupendwa hadi kuolewa njia hii haifai 100% coz jamaa atajua demu huyu ni kicheche hivyo atafute njia nyingine yakufikisha ujumbe kwa muhusika.
Nadhani anamaanisha amemzimia anatamani ampate lakini hajui afanyeje jamaa awe wakeMki sex a lot itaisha hiyo si ajabu ukamki nai...try that..
Price kuna kipindi ulituambia wewe ni bikira na sasa I doubt kama habari ile ni ya ukweli maana sio sifa za bikira kusema mvulana anaye mpenda na kuwa tayari kupoteza bikira yake
Sifa zako leo zimeangukia kwa akina dada wazoefu wa ngono wasio ogopa ku express feelings zao
Pole.. nakujibu leo.... ndo mana nashindwa kumwambia coz si mzoefu wa mambo hayo... na si kwamba ninampenda nisex nae hapana, na ningependa tuwe na uhusiano....
mipasho tu, you are blessed in that...una swaga flani za ki-ally remtullah au Martin kadinda....matumbo ndio majina tunayoitana uswahilini kwetu.
Mki sex a lot itaisha hiyo si ajabu ukamki nai...try that..
Lol! Inataka moyo na aibu uweke pembeni