I looooveeee uuuu

I looooveeee uuuu

Lala1 ..Mdada nimekupenda sana kwa kuangalia avatar yako na muandiko wako hapa jamvini.nimekuwa nikikufuatilia sana humu jamvini sio siri maneno yako yamenifanya nikudondokee kimapenzi..nakiri mimi mmasai nilyeanguka kwako naomba uwe mamaa yoyo wangu..kwa kipindi cha mwaka mupya ujao.2014
Kiukweli hata mm napenda sana huyu Lara1 sijui nimpateje jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom