miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
pesa unazo? siyo upele p.... kavu kama bi dada ajisemeavyo ngoja aje
usidhani pesa ni kila kitu kwake ohoooooooooo inabidi uwe vizuri kichwani pia may be ndo anaweza akakufikiria hebu tuambie una degreee ngapi
Kigezo kitu gan ww,mwache lara1 afunguke mwenyewe,go on mong'oo
pesa unazo? siyo upele p.... kavu kama bi dada ajisemeavyo ngoja aje
A.k.a free p.u.m.b.u
lara 1 kuna mutu huku imekupenda,,
Sina hakika kama anakizi vigezo.
Mmmmmhh!!
Lala1 ..Mdada nimekupenda sana kwa kuangalia avatar yako na muandiko wako hapa jamvini.nimekuwa nikikufuatilia sana humu jamvini sio siri maneno yako yamenifanya nikudondokee kimapenzi..nakiri mimi mmasai nilyeanguka kwako naomba uwe mamaa yoyo wangu..kwa kipindi cha mwaka mupya ujao.2014
So? ?Has haaa. Baba mchungaji bwana.
Umeenda vidato lakini?
Utaweza kubeba mipasho 24/7? mwenzako kafungwa kengele kwa ulimi, lol..
Una hela ama wapeleka free p....u?
na wewe unataka?