I loooooooove it!!

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,799
59,264
Hahahahah....nimeipenda hii picha!!Natamani siku moja na mimi nikwide polisi namna hii!!!!:msela:

36362_400535661746_705711746_4741629_7007018_n%255B1%255D.jpg
 
Huyu mama kapinda itakuwa yaleyale wamemchukulia mboga/matunda aliokuwa anauza ili kulisha familia.
 
Sisi tunabebwa kijuu juu na polisi ....wao wanawakwida!!!I wish it was the other way around....wangekua na heshima hao!!!
 
ni uamuzi tu kwamba sasa basi imetosha,kuna jamaa mwenye umbo dogo sehemu tunayocheza pool alitukanwa vibaya na pande la mtu akamwambia naomba uniache yule bonge akaendelea kumtusi baada ya dakika kadhaa tukastukia bonge yupo chini katapakaa damu uso mzima tukashangaa.
 
kuna njemba inaenda gym daily na kufanya ma heavy weight lifting tukawa tunaiona ndio mbabe hapa kijijini. dah! kuna siku iliwekwa kibano na shoga tu mpaka ikaokolewa na balozi wa nyumba kumi. kulaleki!
 
Kabali,

Hhaha ahaha, Mama kasema na kama sharia ipo, basi wafe nayo, mimi napiga mtu kabali.

Haha ahaha a a a
 
kuna njemba inaenda gym daily na kufanya ma heavy weight lifting tukawa tunaiona ndio mbabe hapa kijijini. dah! kuna siku iliwekwa kibano na shoga tu mpaka ikaokolewa na balozi wa nyumba kumi. kulaleki!
Duh! kamanda kijijini kwenu kuna shoga ? basi mtakuwa mmeendelea lol!
 
liko moja ni import kutoka mombasa, tangu lihamie mvua zimegoma kunyesha. tumekubaliana kuliloga lakini halirogeki bana. dah! imekula kwetu

Mkuu inaonyesha upo naye karibu sana! una namba yake ? Kuna jirani yangu hapa ameniulizia
 
nilihama kijiji mkuu, baada ya lishoga kumbomonda huyo mbabe wetu wa kijijini ikabidi wengine tutimue maana lilisema likikerwa sana litaanzisha kipigo cha shuka kwa shuka. dah!
 
Hahaha! shuka kwa shuka huyo atakuwa mfuasi wa Mama wa kwanza lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom